Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Ushamba huu, naomba kuuliza jamani:-
Hivi Rais anatokea MKOA WA Kagera au MKOA WA Geita? Kulingana na hotuba yake kagera majuzi.
Je, wilaya ya Chato iko MKOA WA Geita au MKOA WA Kagera? Wanajiografia nisaidieni?
Kwanini kuelekea Uchaguzi Mkuu WA 2015 wilaya ya Chato ilihamishwa kutoka Kagera na kupelekwa Geita? Je, ililenga kufata kabila au ni mpango mji?
Nchi hii sio ya ukabila lakini ilikuwaje hapa? Yaani Mimi ni mjinga kweli, hebu nifahamisheni.
Ni Mimi Mwana CCM mtapeliwa:
# Deogratius Kisandu.