Na kunatarajiwa kuwa mkoa utasikiaChato iko mkoa wa Geita ambao ni Mpya ila miaka 3 iliopita chato ilikuwa mkoa wa Kagera
akikusikia mwenyewe mtukufu malaika mkuu!!!Chato ipo mkoa wa GEITA KULIKOGUNDULIWA UGONJWA WA ZIKA.
Mkuu kwani huoni sandonga lake kama MADENGE wa gazeti la Sani?akikusikia mwenyewe mtukufu malaika mkuu!!!
Ndo maana vile vijiji anavijua.. kumbe alikuwa navyo mkoa mmojaChato iko mkoa wa Geita ambao ni Mpya ila miaka 3 iliopita chato ilikuwa mkoa wa Kagera
Ahahahahahaah haya banaChato ipo mkoa wa GEITA KULIKOGUNDULIWA UGONJWA WA ZIKA.
Chato ndiyo nyumbani kwa mkuu wa kaya.Swali la msingi ni kuwa ;
kwa nini Chato ilihamishwa kutoka Kagera kuja Geita(mkoa mpya)?
Swali la nyongeza...ilikuwaje Baada ya Chato kupewa hadhi ya wilaya makao makuu hayakuwekwa Mganza na badala yake yakawa Chato?
swali dogo la nyongeza. kwa nini barabara ya Bwanga kwenda BIharamulo ilipindishwa badala ya kuweka lami kuelekea nyakanazi, ikapindishwa kupitia chato hadi Muganza?..je, biharamulo hawakustahili kupata barabara ya lami?
ntashukuru nikipata majibu ya maswali hayo.
Hivi amerudi?Kumbe ndo maana kila siku anaenda kwao tu.
Chato hapo awali ilikuwa katika mkoa wa Kagera Wilaya ya Biharamulo na Magufuli alikuwa mbunge toka mkoa wa Kagera. Ikaenda Wilaya ya Biharamulo ikawa na majimbo mawili ya uchaguzi Biharamulo Magharibi na Chato baadae chato ikawa wilaya kamili (Busubi na Bugufi wana lugha na desturi sawa na Watusi, Wahutu na Waha). Wasukuma katika Wilaya ya Chato) Wakati huo. Wazinza and Warongo pia wanapatikana Biharamulo ya wakati huo
Kifupi soma link hii itakupanua macho:
http://www.tanzania.go.tz/egov_uploads/documents/MKOA_WA_KAGERA_sw.pdf
..Huyo atakuwa ni mtukufuje unamjua kinara mkuu aliyeshiriki kufanya uhamisho huu??
Haijitengi Geita ila ilihamishiwa tuu na mamlaka zilizopoGeita ilipokuwa mkoa wilaya ya chato ilijumuishwa kwenye huo mkoa wakati huo huo ili kurahisisha upatikanaji wa huduma mbali mbali mfano kijiografia ni rahisi sana mtu kusafiri kutoka chato kwenda mkoani (Geita ) kuliko kwenda Bukoba.
Mbona hujahoji ni kwanini wilaya ya Geita ilijitenga kutoka Mkoa wa Mwanza?
umeeleweka nnachopinga kusema Chato ilijitenga wapi na wapi Wilaya ikajitenga?? Labda kama zilivyokuwa State za huko USsababu zilizoihamisha Geita ndizo hizo hizo zilizoihamisha Chato.
Swali la msingi ni kuwa ;
kwa nini Chato ilihamishwa kutoka Kagera kuja Geita(mkoa mpya)?
Swali la nyongeza...ilikuwaje Baada ya Chato kupewa hadhi ya wilaya makao makuu hayakuwekwa Mganza na badala yake yakawa Chato?
swali dogo la nyongeza. kwa nini barabara ya Bwanga kwenda BIharamulo ilipindishwa badala ya kuweka lami kuelekea nyakanazi, ikapindishwa kupitia chato hadi Muganza?..je, biharamulo hawakustahili kupata barabara ya lami?
ntashukuru nikipata majibu ya maswali hayo.
Mkuu bado ile ndoto yako ya urais unayo ?Ushamba huu, naomba kuuliza jamani:-
Hivi Rais anatokea MKOA WA Kagera au MKOA WA Geita? Kulingana na hotuba yake kagera majuzi.
Je, wilaya ya Chato iko MKOA WA Geita au MKOA WA Kagera? Wanajiografia nisaidieni?
Kwanini kuelekea Uchaguzi Mkuu WA 2015 wilaya ya Chato ilihamishwa kutoka Kagera na kupelekwa Geita? Je, ililenga kufata kabila au ni mpango mji?
Nchi hii sio ya ukabila lakini ilikuwaje hapa? Yaani Mimi ni mjinga kweli, hebu nifahamisheni.
Ni Mimi Mwana CCM mtapeliwa:
# Deogratius Kisandu.