Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,360
- 38,869
Mkuu unataka tunyamaze wakati rais anavunja katiba? Utawala wa sheria ndio muongozo wa maendeleo na maisha bora. Leo hii tukinyamaza bashite kaingia clouds TV na SMG, kesho kutwa ataenda kariakoo pale na vifaru vya jwtz. Upuuzi kama huu hauwezi kunyamaziwa kwa kigezo kwamba tujadili maendeleo. Maendeleo yanaendana na Uhuru siyo utumwa wa kifikra na mawazo ya mgando ya viongozi wa CCM.Mkuu media ya kibongo wakati mwingine ni kielelezo cha vyakula vilivyoharibika ambavyo tulikuwa tunaletewa na wazungu.
Kibaya zaidi media ya aina hii inachangia katika kujenga akili mbovu sana miongoni mwa watanzania.
Zaidi ya mwezi mzima mmekuwa mnamuongelea Makonda tu, mnasah
Hamuwezi kutokuwa na time na Makonda kwa sababu anawasaidia katika kuwarudisha kwenye fikra za watu makini.
Hamjawahi kuwa na mawazo constructive ya kuijenga nchi, mnaishi kwa matukio ya kupita. Mzee Lowassa aliwashauri kuhusi kuachana na siasa za uanaharakati na kugeukia siasa halisi. Sijui lini mtaanza kuutekeleza ushauri huo wa kiutu uzima.