Hivi CHADEMA kuna Demokrasia kweli? kama hakuna hata Mabadiliko ya Mwenyekiti!!!

Tatizo lenu mnakalili km nyuki. Ila chukua nafasi uchambue km utakuwa na uwezo wa kuchambua
 
Kweli we hamnazo. Kwaio museveni na Mugabe wanawaita madikteta kwa mantinki gan!!! Acha kukalilishwa wewe
Namna wanavyowakandamiza binadamu wenzao, uhuru WA mawazo hakuna, people are subjected to inhumane and degrading life! On the other hand, mfano wako unawahusu CCM na hatima ya Tanzania! Kuwa dikteta sii aspect Moja, ni mjumuisho wa Mambo! Najaribu kukusaidia kuelewa wewe kila.za WA mwendokasi ingawa najua ubongo wako ni mzito sana!
 
Swali jiulize mwennyewe hivi Tanzania kuna Demokrasia kila mwaka chama kimoja kinapita kidedea
 
Unavyofanya uchambuzi weka comparison na nchi nyingne hasa zilizoendelea km marekani na China!!!
Jiulze marekan baada ya kupata Uhuru walkaa miaka mungap!!!
Jiulze China chama cha kimonist kmekaa miaka mingap??
 
MBOWE anakubalika ndani ya CHADEMA kuliko Magufuli anavyokubalika ndani ya CCM. Demokrasia haipo kwenye vyama vyenye itikadi za kijamaa
 
Nashangaa kwa ndugu zangu wanaodanganya kwamba wanaitaji demokrasia . swali la kujiuliza ni kwamba hao walio kipau mbele kudai demokrasia wanatii taratibu za demokrasia wakat huku hakuna hata mabadiliko ndani ya chama hasa kwa nafasi ya uwenyekiti!!!

Kwa Mimi nikiulizwa chama moja wapo cha kidikteta , CHADEMA lazima nikiorodheshe.
Tubadilike jamani. Toa chongo kwanza iliyo kwenye boriti ya macho yako arafu ndiyo utazame ya mwenzio.

...Mwenyewe Nashangaa,..Pia nafasi nyeti zote Wanakaa wachaga Tu!..
 
Habari wakuu,

Freeman mbowe na genge lake wamekuwa wakiilalamikia serikali kwamba imeminya demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.Huu ni wimbo ambao mbowe na genge lake wamekuwa wakiuimba kila siku na kila saa.

Yapo mambo mengi ambayo mbowe na genge lake wamekuwa wakiyataja ili kujenga hoja kuwa serikali inabana demokrasia na uhuru wa kutoa maoni kuhusu maswala mbalimbali.

Lakini tujiulize, je, Mbowe ana uhalali wa kuyapigania haya yote?

Je, ana rekodi nzuri ya kusimamia demokrasia au mbabaishaji?

Je, kabla hajadai demokrasia nje ndani ya CHADEMA wanachama wana uhuru wa kuhoji na kutoa maoni yao kwenye maswala yanayohusu chama na taifa?

Je, kila mwanachama ana uhuru wa kugombea nafasi anayomudu?

Je, wanachama wanapewa nafasi ya kufanya maamuzi muhimu ndani ya chama?

Tukianza na swala la uhuru wa kutoa maoni waliokuwa nao wanachama wa CHADEMA.

Tuanze kuliangazia suala la mjumbe wa kamati kuu alivyotumia uhuru wake wa kujieleza na kutoa maoni vizuri na kumpongeza mh Rais JPM kwa kazi nzuri anaoyoifanya.

Baada ya hapo tumeshuhudia mbowe na genge lake likimshambulia mh lowassa kuwa alichokifanya si sahihi wamesahau kuwa mh Lowassa ametumia kile wanachokipigania yani uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.

Wamesahau maana halisi ya upinzani.Upinzani sio kutukana Serikali bali ni kuwa na mawazo mbadala na kupongeza pale Serikali inapofanya vizuri maana lengo letu ni kuijenga Tanzania moja.

Uchaguzi umekwisha mbowe na genge lako tambueni Serikali yenye uwezo wa kuleta maendeleo kwa sasa ni ya CCM hivyo mnatakiwa kushirikiana na kuiunga mkono Serikali ya CCM ili kuleta maendeleo

Imetolewa
MZALENDO MASENU K MSUYA
0784843475
 
Habari wakuu,
Freeman mbowe na genge lake wamekuwa wakiilalamikia serikali kwamba imeminya demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.Huu ni wimbo ambao mbowe na genge lake wamekuwa wakiuimba kila siku na kila saa.Yapo mambo mengi ambayo mbowe na genge lake wamekuwa wakiyataja ili kujenga hoja kuwa serikali inabana demokrasia na uhuru wa kutoa maoni kuhusu maswala mbalimbali.

Lakini tujiulize je mbowe ana uhalali wa kuyapigania haya yote?
Je ana rekodi nzuri ya kusimamia demokrasia au mbabaishaji?Je kabla hajadai demokrasia nje ndani ya cdm wanachama wana uhuru wa kuhoji na kutoa maoni yao kwenye maswala yanayohusu chama na taifa?
Je kila mwanachama ana uhuru wa kugombea nafasi anayomudu?
Je wanachama wanapewa nafasi ya kufanya maamuzi muhimu ndani ya chama?
Tukianza na swala la uhuru wa kutoa maoni waliokuwa nao wanachama wa cdm.Tuanze kuliangazia swala la mjumbe wa kamati kuu alivyotumia uhuru wake wa kujieleza na kutoa maoni vizuri na kumpongeza mh Rais JPM kwa kazi nzuri anaoyoifanya.Baada ya hapo tumeshuhudia mbowe na genge lake likimshambulia mh lowassa kuwa alichokifanya si sahihi wamesahau kuwa mh lowassa ametumia kile wanachokipigania yani uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Wamesahau maana halisi ya upinzani.Upinzani sio kutukana serikali bali ni kuwa na mawazo mbadala na kupongeza pale serikali inapofanya vizuri maana lengo letu ni kuijenga Tanzania moja.Uchaguzi umekwisha mbowe na genge lako tambueni serikali yenye uwezo wa kuleta maendeleo kwa sasa ni ya ccm hivyo mnatakiwa kushirikiana na kuiunga mkono serikali ya ccm ili kuleta maendeleo

imetolewa
MZALENDO MASENU K MSUYA
0784843475
Unaweza kutufafanulia maana ya genge??so unamimbilia kuweka namba tu.
 
Jifunze kujenga hoja na kuuliza maswali,asa unauliza maswali wakati tayari ushatumia maneno ya kashfa na kujiweka upande mmoja unataka sisi tufanyaje?utaishia kutukanwa tu....
 
Ni kweli kuna baadhi ya mambo serikali inayafanya yanayoonyesha inabana demokrasia.

Lakini pia ni ukweli kuwa Mbowe genge lake ni wababaishaji daraja la kwanza.

Mbowe na genge lake hawawezi kuunda serikali hao.

Sasa hivi wameshajivuruga mpaka hawajielewi kabisa. Huyo Mbowe kapooza utadhani kuku aliyenyewa na mvua.

Lissu naye kazi yake kubwabwaja tu kwenye mitandao ya kijamii. Lema ndo bure kabisa. Mwezi mchanga huyo.

Msigwa naye mshamba mshamba tu. Sugu yeye anadili na Faiza.

CHADEMA are a bunch of sore losers.
 
Mbowe ni Mjanja Mjanja Fulani hivi lakin kwa Lowassa atagonga Mwamba kwa kuwa ni Mjanja zaid yake!

Lowassa ajipange tu kuwania Uenyekiti wa Chadema 2019 ni Mwanasiasa Mwenye Mikakati sana
 
Habari wakuu,

Freeman mbowe na genge lake wamekuwa wakiilalamikia serikali kwamba imeminya demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.Huu ni wimbo ambao mbowe na genge lake wamekuwa wakiuimba kila siku na kila saa.

Yapo mambo mengi ambayo mbowe na genge lake wamekuwa wakiyataja ili kujenga hoja kuwa serikali inabana demokrasia na uhuru wa kutoa maoni kuhusu maswala mbalimbali.

Lakini tujiulize, je, Mbowe ana uhalali wa kuyapigania haya yote?

Je, ana rekodi nzuri ya kusimamia demokrasia au mbabaishaji?

Je, kabla hajadai demokrasia nje ndani ya CHADEMA wanachama wana uhuru wa kuhoji na kutoa maoni yao kwenye maswala yanayohusu chama na taifa?

Je, kila mwanachama ana uhuru wa kugombea nafasi anayomudu?

Je, wanachama wanapewa nafasi ya kufanya maamuzi muhimu ndani ya chama?

Tukianza na swala la uhuru wa kutoa maoni waliokuwa nao wanachama wa CHADEMA.

Tuanze kuliangazia suala la mjumbe wa kamati kuu alivyotumia uhuru wake wa kujieleza na kutoa maoni vizuri na kumpongeza mh Rais JPM kwa kazi nzuri anaoyoifanya.

Baada ya hapo tumeshuhudia mbowe na genge lake likimshambulia mh lowassa kuwa alichokifanya si sahihi wamesahau kuwa mh Lowassa ametumia kile wanachokipigania yani uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.

Wamesahau maana halisi ya upinzani.Upinzani sio kutukana Serikali bali ni kuwa na mawazo mbadala na kupongeza pale Serikali inapofanya vizuri maana lengo letu ni kuijenga Tanzania moja.

Uchaguzi umekwisha mbowe na genge lako tambueni Serikali yenye uwezo wa kuleta maendeleo kwa sasa ni ya CCM hivyo mnatakiwa kushirikiana na kuiunga mkono Serikali ya CCM ili kuleta maendeleo

Imetolewa
MZALENDO MASENU K MSUYA
0784843475
JPM na genge lake ni waminya demokrasia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom