Nashangaa kwa ndugu zangu wanaodanganya kwamba wanaitaji demokrasia . swali la kujiuliza ni kwamba hao walio kipau mbele kudai demokrasia wanatii taratibu za demokrasia wakat huku hakuna hata mabadiliko ndani ya chama hasa kwa nafasi ya uwenyekiti!!!
Kwa Mimi nikiulizwa chama moja wapo cha kidikteta , CHADEMA lazima nikiorodheshe.
Tubadilike jamani. Toa chongo kwanza iliyo kwenye boriti ya macho yako arafu ndiyo utazame ya mwenzio.
Kwa Mimi nikiulizwa chama moja wapo cha kidikteta , CHADEMA lazima nikiorodheshe.
Tubadilike jamani. Toa chongo kwanza iliyo kwenye boriti ya macho yako arafu ndiyo utazame ya mwenzio.