Hivi CHADEMA kuna Demokrasia kweli? kama hakuna hata Mabadiliko ya Mwenyekiti!!!

Ni kweli kuna baadhi ya mambo serikali inayafanya yanayoonyesha inabana demokrasia.

Lakini pia ni ukweli kuwa Mbowe genge lake ni wababaishaji daraja la kwanza.

Mbowe na genge lake hawawezi kuunda serikali hao.

Sasa hivi wameshajivuruga mpaka hawajielewi kabisa. Huyo Mbowe kapooza utadhani kuku aliyenyewa na mvua.

Lissu naye kazi yake kubwabwaja tu kwenye mitandao ya kijamii. Lema ndo bure kabisa. Mwezi mchanga huyo.

Msigwa naye mshamba mshamba tu. Sugu yeye anadili na Faiza.

CHADEMA are a bunch of sore losers.

Ha ha ha haaaa, umeua
 
Ni kweli kuna baadhi ya mambo serikali inayafanya yanayoonyesha inabana demokrasia.

Lakini pia ni ukweli kuwa Mbowe genge lake ni wababaishaji daraja la kwanza.

Mbowe na genge lake hawawezi kuunda serikali hao.

Sasa hivi wameshajivuruga mpaka hawajielewi kabisa. Huyo Mbowe kapooza utadhani kuku aliyenyewa na mvua.

Lissu naye kazi yake kubwabwaja tu kwenye mitandao ya kijamii. Lema ndo bure kabisa. Mwezi mchanga huyo.

Msigwa naye mshamba mshamba tu. Sugu yeye anadili na Faiza.

CHADEMA are a bunch of sore losers.


Dude back home


Swissme
 
Ni kundi la wapigaji linalotumia kivuli cha chama cha siasa..CDM kipo pale kupata ruzuku tu na kuingiza wabunge wao wavute posho zao na maisha yanaendelea. Chama cha siasa serious hakiwezi kua na makao makuu mtaa wa Ufipa kwenye kile kijumba cha kuku. Wazungu wanaoshirikiana nao wameshawazarau sana hao wahuni wa chadema na wangekua wanawaunga mkono huyo mgonjwa asingepelekwa huko uchochoroni ubelgiji angeshuka New York au London. Tusubiri 2020 jibu litapatikana maana JPM atapiga landslide victory haijawahi tokea toka tupate uhuru. Watch this space.
 
Habari wakuu,

Freeman mbowe na genge lake wamekuwa wakiilalamikia serikali kwamba imeminya demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.Huu ni wimbo ambao mbowe na genge lake wamekuwa wakiuimba kila siku na kila saa.

Yapo mambo mengi ambayo mbowe na genge lake wamekuwa wakiyataja ili kujenga hoja kuwa serikali inabana demokrasia na uhuru wa kutoa maoni kuhusu maswala mbalimbali.

Lakini tujiulize, je, Mbowe ana uhalali wa kuyapigania haya yote?

Je, ana rekodi nzuri ya kusimamia demokrasia au mbabaishaji?

Je, kabla hajadai demokrasia nje ndani ya CHADEMA wanachama wana uhuru wa kuhoji na kutoa maoni yao kwenye maswala yanayohusu chama na taifa?

Je, kila mwanachama ana uhuru wa kugombea nafasi anayomudu?

Je, wanachama wanapewa nafasi ya kufanya maamuzi muhimu ndani ya chama?

Tukianza na swala la uhuru wa kutoa maoni waliokuwa nao wanachama wa CHADEMA.

Tuanze kuliangazia suala la mjumbe wa kamati kuu alivyotumia uhuru wake wa kujieleza na kutoa maoni vizuri na kumpongeza mh Rais JPM kwa kazi nzuri anaoyoifanya.

Baada ya hapo tumeshuhudia mbowe na genge lake likimshambulia mh lowassa kuwa alichokifanya si sahihi wamesahau kuwa mh Lowassa ametumia kile wanachokipigania yani uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.

Wamesahau maana halisi ya upinzani.Upinzani sio kutukana Serikali bali ni kuwa na mawazo mbadala na kupongeza pale Serikali inapofanya vizuri maana lengo letu ni kuijenga Tanzania moja.

Uchaguzi umekwisha mbowe na genge lako tambueni Serikali yenye uwezo wa kuleta maendeleo kwa sasa ni ya CCM hivyo mnatakiwa kushirikiana na kuiunga mkono Serikali ya CCM ili kuleta maendeleo

Imetolewa
MZALENDO MASENU K MSUYA
0784843475


Dogo hujapata hata ukatibu tarafa? Maana nadhani U-DC will be bigger at your level.... maana Kiukweli umejitahidi sana mitandaoni. Au huna elimu??

Angalizo..hata kama unahangaikia chama be careful unaandika nini..ukiandika pumba na kusifia ilmradi tuu..kuna wenzio kazi yao ni kupitia maandiko yako na kuyapima kabla hawajayapeleka Lumumba kwa hatua zaidi. Usiseme hukuambiwa!

Muulize kaka yako Lizaboni na wenzake...
 
CHADEMA majinga majinga sana.

Halafu, hivi we huoni Mbowe kuwa kama kapooza flani hivi?

Yupo yupo tu ka zombie vile.

Huwa namshangaa sana zitto kwa kuendelea kujipendekeza kwa mbowe na lissu wakati alifukuzwa chadema Kama mbwa kisa kuandika waraka wa mabadiliko ambao ulipewa jina la uhaini ndani ya chama!

Wakati zitto na wanzeke wakiwa hawaridhishwi na mwenendo wa mwenyekiti wao, mbowe na genge lake likiongozwa na lema liliwashambulia wenzao waliokuwa na mawazo mbadala na kuwaita wahaini na mwisho wake kufukuzwa chamani. Demokrasia iko wapi cdm kwa jambo dogo Kama hilo? Yapo mengi sana ya kuongelea
 
ccm wapuuzi sana mnaumia sana mbowe kuwa mwenyekiti wa cdm mnamtaka nani mnafikiri hio ni CWT
 
Inasikitisha sana Mbowe alivyoisambaratisha CHADEMA kwa kuchagua vipande vya pesa ile 2015.

Gwajima mshenga wa hii biashara
Mungu anakuona.
 
Mleta mada watu humu wanataka umtukane rais nakumkashifu ndo utaonekana unaakili.ila ukitoa maon yako watakutukana,,humu wenyewe hawana huru wamaon wanaudikteta nayote hii wamefundishwa namboe.mboe ni killer nahalitapewa nchi linamarienge hailtaona vizur.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom