Hivi Chadema huwa hawana hoja?

Hivi Chadema huwa hawana hoja?

You imbecile.
Siasa za upinzani duniani kote ni kutokana na chama kilichopo madarakani namna kinavyoendesha nchi.Pia idadi kubwa ya watz hawajui wala hawana muda wa hoja wala sera wawe chama tawala au upinzani.
Mala Kikokotoo, mara CAG, Mala risasi 38, Mala Demokrasia imeminywa, Mala wabunge wamenunuliwa, mala operation sangara, mala M4c , yaani ni ujinga ujinga tupu. Lini Chadema wataongea hoja zenye tija?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom