babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,841
- 6,546
- Thread starter
- #41
Kwa mikutano wanayoifanya cdm....Mkuu una maanisha katiba haikuliona hilo la mikutano? basi tudai katiba mpya inayo zuia mikutano
Nibora kabisa katiba ifanyiwe marekebisho na kupiga marufuku mikutano ya hovyo kama hiyo