Mkuu, Stephen Wassira aliposema kuwa CHADEMA kitakufa 2014 hawakumuelewa. Sasa kila kitu hadharani
Usahihi, aliyefyeka rambirambi ni Mchungaji Msigwa. Hilo Chris alilitolea maelezo
Mimi watu kama hawa hata sishangai wanapokuja na silly excuses kutaka kuharalisha kile ambacho wenye chama wamekiamua.Taratibu mnaanza kuiona kuwa CHADEMA si lolote tena
Political Natural death. Siku hizi hakuna hata Peoples Power tena kwenye mikutano yao.
Hata kwenye makabrasha ndani ya ofisi zao za Ufipa, Kinondoni utakuta neno UKAWA limeanza kuonekana mara nyingi zaidi la neno CHADEMA.
Tulikuwa tunawasikia wakisema CHADEMA ni mpango wa Mungu, kwa sasa hao hao wameanza kusema UKAWA ni mpango wa Mungu. Yaani Mungu wao hafahamu hata yupi ndiyo mpango wake kama wanataka kutuaminisha kuwa CHADEMA bado ni hai.
Huyu mwanamke mwenye fulana ya njano anaitwaje?
Wapo lakini wamebadili jina wanajiita UKAWA.Ndugu zanguni,
Kama ilivyotabiriwa, Chadema ndio inayeyuka kama barafu juani . Wengi tuliyajua haya lakini makamanda viroba wakabisha kwa matusi marefu marefu, lakini sasa nadhani nao wameanza kuamini kuwa chadema ni kama ngoma wa mdundiko tu, haieleweki inakwendfa wapi na sasa mwisho wa ngoma umefika wanajibanza kwa ukawa.
JITAMBUENI MBULUMUNDUS
Nipo hapo, ila kwa sababu ni mweusi sana huwezi nionaWewe ndio haujitambui kabisa Mwigulu amefanya Ziara huko UK zaidi ya 2 lakini katika picha zote sijawahi kukuona je huwa haualikwi? au wewe Uanachama na ushabiki wako kwa CCM unaishia humu JF tu na hakuna mwanaCCM yeyote anayekutambua kuanzia walioko huko na waliopo huku, au wanaogopa kujidhalilisha kutokana na kazi ya ukuli unayofanya huko?
Katibu wa CCM shina la Birmingham na Mwenyekiti wa kamati ya Maadili tawi la Uingereza Bi. Lilian Barongo akiwa pamoja na Mwenyekiti shina la Northmpton Dr. Abdalah Saleh na Bi. Rose Kiputa Katibu Shina la Cardiff Wales
.Baadhi ya Viongozi na wanachama wa chama cha mapinduzi tawi la Uingereza wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wa St. Patrick Jijini Leicester wakisubiri kuwasili kwa Naibu Katibu Mkuu CCM TAIFA Mh. Mwigulu Nchemba.
CHADEMA bado wapo sana tu, kwenye hili la katiba mpya na safari ya kuelekea uchaguzi Mkuu 2015 CHADEMA, CUF na NCCR wameamua kuunganisha nguvu katika kupambana na Serikali dhalimu inayotaka kuchakachua maoni ya Watanzania kama yalivyokusanywa na Tume ya Warioba. Siku zote kumbuka kwamba UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU hii ndio sababu kubwa ya vyama hivi vitatu kuamua kuunganisha nguvu.
ulitaka nazo uzipige kama za sabodo!Nikikumbuka rambirambi za Mwangosi machozi yanitoka....!
Political Natural death. Siku hizi hakuna hata Peoples Power tena kwenye mikutano yao.
Hata kwenye makabrasha ndani ya ofisi zao za Ufipa, Kinondoni utakuta neno UKAWA limeanza kuonekana mara nyingi zaidi la neno CHADEMA.
Tulikuwa tunawasikia wakisema CHADEMA ni mpango wa Mungu, kwa sasa hao hao wameanza kusema UKAWA ni mpango wa Mungu. Yaani Mungu wao hafahamu hata yupi ndiyo mpango wake kama wanataka kutuaminisha kuwa CHADEMA bado ni hai.
Ndugu zanguni,
Kama ilivyotabiriwa, Chadema ndio inayeyuka kama barafu juani . Wengi tuliyajua haya lakini makamanda viroba wakabisha kwa matusi marefu marefu, lakini sasa nadhani nao wameanza kuamini kuwa chadema ni kama ngoma wa mdundiko tu, haieleweki inakwendfa wapi na sasa mwisho wa ngoma umefika wanajibanza kwa ukawa.
JITAMBUENI MBULUMUNDUS
Ndugu zanguni,
Kama ilivyotabiriwa, Chadema ndio inayeyuka kama barafu juani . Wengi tuliyajua haya lakini makamanda viroba wakabisha kwa matusi marefu marefu, lakini sasa nadhani nao wameanza kuamini kuwa chadema ni kama ngoma wa mdundiko tu, haieleweki inakwendfa wapi na sasa mwisho wa ngoma umefika wanajibanza kwa ukawa.
JITAMBUENI MBULUMUNDUS
Chadema kilishakufa kitambo sana wengine tumeanza kukisahau kabisa.