Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,947
Ndugu zanguni,
Kama ilivyotabiriwa, Chadema ndio inayeyuka kama barafu juani . Wengi tuliyajua haya lakini makamanda viroba wakabisha kwa matusi marefu marefu, lakini sasa nadhani nao wameanza kuamini kuwa chadema ni kama ngoma wa mdundiko tu, haieleweki inakwendfa wapi na sasa mwisho wa ngoma umefika wanajibanza kwa ukawa.
JITAMBUENI MBULUMUNDUS
Ndugu zanguni,
Kama ilivyotabiriwa, Chadema ndio inayeyuka kama barafu juani . Wengi tuliyajua haya lakini makamanda viroba wakabisha kwa matusi marefu marefu, lakini sasa nadhani nao wameanza kuamini kuwa chadema ni kama ngoma wa mdundiko tu, haieleweki inakwendfa wapi na sasa mwisho wa ngoma umefika wanajibanza kwa ukawa.
JITAMBUENI MBULUMUNDUS
Nikikumbuka rambirambi za Mwangosi machozi yanitoka....!
Taratibu mnaanza kuiona kuwa CHADEMA si lolote tenaMi nadhani you are looking at it all the wrong ways, and you are not seeing the big picture here! Watanzania hawahitaji CHADEMA, wanahitaji mabadiliko. Sasa kama yatakuja kupitia nini, that does not matter.
Kwa sasa tunahitaji kuona tunapata system mpya itakayokua na majibu ya matumaini kwa maisha yetu kama wananchi.
**Tunahitaji system itakayotuhakikishia huduma za afya zilizoboreshwa mpaka na hao wanafiki waanze kutibiwa nchini. **System itakayosimamia matumizi sahihi na makusanyo sahihi ya kodi za wananchi, ikizingatia kuwapunguzia mzigo usio wa lazima
**System itakayowahakikishia wamanchi elimu bora yenye kumsaidia anayeipata, badala ya huu unafiki wa sasa wa wao kukimbiza watoto wao nje, huku wakiwaambia watu shule zetu ni nzuri
**System itakayowapa wote haki, hata wale ambao ni wahalifu, na siyo hii ya sasa ambayo haiwezi kuwatendea haki hata wasio na makosa.
Tunataka mabadiliko yatakayotutoa kwenye huu utawala wa watu wenye tamaa za fisi na uroho wa nguruwe. Just MABADILIKO. it doesn't matter yanatoka wapi. Hatujali kama kinachotufikisha huko kitaitwa CHADEMA, JAMII MPYA, MTI MKAVU au nini sijui. What matters is ustawi wa maisha ya Watanzania. And that is what this big picture is all about!
Mkuu, Stephen Wassira aliposema kuwa CHADEMA kitakufa 2014 hawakumuelewa. Sasa kila kitu hadharaniWamejificha kwenye kivuli cha UKAWA wanataka kubadili jina, walitaka kujiita M4C ikashindikana sasa wanataka kujiita UKAWA
Wapi wewe, acha kudanganya watu.Jana CHADEMA ilikuwa Bahi na mikutano 4 na mh. jj mnyika alifanya mikutano Kondoa kusini ni ya CHADEMA siyo UKAWA
Kamuulize Mchungaji MsigwaLukosi, pesa za rambi rambi vipi?
Usahihi, aliyefyeka rambirambi ni Mchungaji Msigwa. Hilo Chris alilitolea maelezoUmenikumbusha mbali sana, hivi ni kweli jamaa alifyeka rambirambi ya marehemu D.M.?