Hivi CCM wanafaidika nini na na Muungano?

Hivi CCM wanafaidika nini na na Muungano?

mkuu mala zote nam huwa najiuliza hilo swali na majibu sipati, il nilijalbu kufukunyua hata majbu nlopata hayakuniliadhisa.. ila nahisi sisiemu wanajalibu kuishi ndoto za BABA WA TAIFA za miaka ya 70 huko na wanasahau now tupo 2020s
Kuandika hujui, mambo ya muungano utayajulia wapi!
 
Viongozi wa CCM wameharibu maana ya muungano.

Zanzibar needs us and we need them...

Ni wakati wa kuujadili muungano upya.
 
Tatizo siyo muungano, tatizo ni watu.
Tatizo siyo CCM, tatizo ni watu wovu wanaotumia CCM kama kichaka cha kujificha.
Kuondoa tatizo kunawezekana baada tu ya kuamua kuwatambua na kuwashughulikia watu waovu wao wenyewe. Shutuma za jumla huwajenga zaidi waovu.
Hivi vichaka/miavuli vina watu wabaya na wazuri (serikali, CCM, vyama vya upinzani, vyombo vya dola na dini).
Hakuna sababu ya kushutumu jumla jumla, inatakiwa kuchambua waovu kwa facts ili wapate haki zao.
 
Kuandika hujui, mambo ya muungano utayajulia wapi!
inawezekana kweli kuandika sijui lakini sijajua umewezaje kunijibu ikiwa kuandika sijui, mana huwezi kujibu kitu kisichoeleweka kama hujakielewa. na kama wewe ni mwalim wa kiswahili subili julai shule zifungue. mkuu tuheshimiane hapa hatupo kufundishana namna yakuandika sikuona ulazima wa wewe kunijibu mana andiko hili si lako.
 
Habari ndugu!

Nimekuwa nikijiuliza hili swali lakini sijawahi kupata majibu sahihi.
Sasa Leo NAOMBA wajuzi wa mambo mnisaidie Kwa dhati kabisa.

CCM kinafaidika vipi na huu MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar?
Shukrani sana.

Tunaitaka Tanganyika yetu.
Kuitawala zanzibar pia na kunyonya resources zake
Its all about resources
 
Habari ndugu!

Nimekuwa nikijiuliza hili swali lakini sijawahi kupata majibu sahihi.
Sasa Leo NAOMBA wajuzi wa mambo mnisaidie Kwa dhati kabisa.

CCM kinafaidika vipi na huu MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar?
Shukrani sana.

Tunaitaka Tanganyika yetu.
Kuzuia vyama vingine kufanya siasa na uçhafuzi huru
 
Back
Top Bottom