Vipi tanganyika packers?CCM vipofu
bado ikulu tu sasa maana na nyumba zote waliuza
WEWE, MIMI, NA kila Mtanzania tujiunge pamoja kukomesha uhuni wao, tuhakikishe tunapiga kura.1. Nani wa kulaumiwa?
2. Nani wa kufunga paka kengele???
WEWE, MIMI, NA kila Mtanzania tujiunge pamoja kukomesha uhuni wao, tuhakikishe tunapiga kura.
1. Sungura textile....mmeua mkauza
2. Mwatex mmeua mkauza
3. Tipper mliua
4. Killitex mmeua...mkanywa
5. Bandari ...mmeuza
6. NBC...mmeuza mkala
7. TTCL...mmeuza mkala
8. General Tire...mmekula...ikafa
9. TRC...mmekula......mkauza
10. Urafiki textile....mmekula....mkauza
11. Loliondo...mmeuza ....mkala
12. EPA, kagoda.....CCM
13. Meremeta, Tangold....mmekula
14.
15.
16
.
.
.
.
1. Sungura textile....mmeua mkauza
2. Mwatex mmeua mkauza
3. Tipper mliua
4. Killitex mmeua...mkanywa
5. Bandari ...mmeuza
6. NBC...mmeuza mkala
7. TTCL...mmeuza mkala
8. General Tire...mmekula...ikafa
9. TRC...mmekula......mkauza
10. Urafiki textile....mmekula....mkauza
11. Loliondo...mmeuza ....mkala
12. EPA, kagoda.....CCM
13. Meremeta, Tangold....mmekula
14.
15.
16
.
.
.
.
CCM vipofu
Miradi mingi fake
Tatizo ni kuwa na viongozi wenye ufinyu wa elimu ambayo ni elimu ya UPE(Elimu Pasipo Elimu) na wenye tamaa za kijinga ndio maana tupo hapa tulipo.
Mshipa wa aibu wa CCM ulishakatika zamani kwao kashifa ni kama zeze
Hawana aibu hao.hata ahadi zao wasipotekeleza wanakuja kuzikana.
...
Tukirudi kwenye mjadala 99.9%ya matatizo ya nchi yetu yanasababishwa na CCM kuwepo madarakani.
Hivi mwenyekiti wa CCM unapotembea mitaani unajisikiaje pale unapokuta kila kona wananchi wanalia njaa na ni wachafu wa kupindukia?
??
Alafu wanawekana serikali kwa kujuana.....Nchi inateketea hivi hivi na sisi wananchi tunaona!!
Migodi Yooote, imeuzwa ....miji iliyong'ara kutokana na madini inadidimia.....fika Arusha, hakuna tena jeuri ya pesa za vijana wale.
..... ..... tuwakatae, baada ya kula hela zao.
WaTz TUAMKE, TUPAMBANE NA WAHUNI HAWA.
1. Nani wa kulaumiwa?
2. Nani wa kufunga paka kengele???
Nadhnani ndugu Edwinito ameongea la maana sana, kwani tatizo si sisiemu tatizo ni sisi wenyewe!
Wengi wetu tuna hasira na tunataabika na huu ukapa tulioletewa na hawa jamaa, kila kitu wameuza, na sisi kama tulivyo kura tunaendelea kuwapa! Je nani anatakiwa aone aibu? sisi watanzania tunaowapa kura au hao wanaopewa kura? Ujinga, ulafi na umbumbumbu wetu unaipeleka nchi pabaya, angekuwa sisi watanzania wote tunakataa huo ujinga wao wala wasingeendelea kutawala!