Hivi CCM hamuoni aibu kwa haya?

Hayupo wa kuona aibu juu ya madhambi aliyosababisha ..au ndo ule msemo ukitaka kula na kipofu usimshike mkono
Ni aibu
 
EPA ......Deep Green Finance chini ya Ridhwani Kikwete, waziri Masha, na jaji nani yule aliyepewa ujaji na Kikwete kama asante kwa kuiba kupitia Deep Green Finance.
 
sasa baada ya kutambua madudu yote ya chama hicho mufilisi, mpira upo kwetu wa Tanzania , uchaguzi umepiga hodi, mashetani wa siasa wanarise fund kufikia Bill 5O [50,000,000,000/=] kwa ajili ya kutuhonga. tuwakatae, baada ya kula hela zao.
WaTz TUAMKE, TUPAMBANE NA WAHUNI HAWA.
 
WEWE, MIMI, NA kila Mtanzania tujiunge pamoja kukomesha uhuni wao, tuhakikishe tunapiga kura.

na kama mnaona shida kumnyima kura Mkwere basi tupigie kura wabunge wote wa upinzani....CCM itajuta kuzaliwa. u can fool people sometimes but u cant fool them all of the time...
 
1. Sungura textile....mmeua mkauza
2. Mwatex mmeua mkauza
3. Tipper mliua
4. Killitex mmeua...mkanywa
5. Bandari ...mmeuza
6. NBC...mmeuza mkala
7. TTCL...mmeuza mkala
8. General Tire...mmekula...ikafa
9. TRC...mmekula......mkauza
10. Urafiki textile....mmekula....mkauza
11. Loliondo...mmeuza ....mkala
12. EPA, kagoda.....CCM
13. Meremeta, Tangold....mmekula
14.
15.
16
.
.
.
.

Magezi, umesahau KIWIRA! Wamekula, wameuza, wamesaza sasa mfupa unarudishwa bungeni. Aibu gani hata kulipa wafanyakazi mishahara inashindikana! Wafanyakazi wanafanya kazi katika mazingira hatarishi, ILO stds hazifuatwi hata kidogo. hizo hela wanazodai walitumia kufanya ukarabati, walipiga majengo rangi tena kwa nje tuu! Yaani jinsi Mungu aishivyo, hukumu inabidi iwe kwa mafungu kwa kweli.
 
Utawala wa CCM ni mkataba mwingine mbovu ambao wananchi tumeingia na dubwana hili
 
1. Sungura textile....mmeua mkauza
2. Mwatex mmeua mkauza
3. Tipper mliua
4. Killitex mmeua...mkanywa
5. Bandari ...mmeuza
6. NBC...mmeuza mkala
7. TTCL...mmeuza mkala
8. General Tire...mmekula...ikafa
9. TRC...mmekula......mkauza
10. Urafiki textile....mmekula....mkauza
11. Loliondo...mmeuza ....mkala
12. EPA, kagoda.....CCM
13. Meremeta, Tangold....mmekula
14.
15.
16
.
.
.
.

Magezi, umesahau KIWIRA dugu yangu,lols! Yaani hiyo ndo wamekula, wakasaza, makombo na bili(invoice) wameturudishia. Hata mishahara ya wafanyakazi ilikuwa nongwa. Na hizo hela wanazodai warudishiwe eti waliwekeza, wamepaka majengo rangi tena kwa nje tuu. Yaani jinsi Mungu aishivyo, hiyo siku ya hukumu adhabu inabidi iwe kwa mafungu.
 
CCM vipofu


Miradi mingi fake


Tatizo ni kuwa na viongozi wenye ufinyu wa elimu ambayo ni elimu ya UPE(Elimu Pasipo Elimu) na wenye tamaa za kijinga ndio maana tupo hapa tulipo.


Mshipa wa aibu wa CCM ulishakatika zamani kwao kashifa ni kama zeze
Hawana aibu hao.hata ahadi zao wasipotekeleza wanakuja kuzikana.
...
Tukirudi kwenye mjadala 99.9%ya matatizo ya nchi yetu yanasababishwa na CCM kuwepo madarakani.

Hivi mwenyekiti wa CCM unapotembea mitaani unajisikiaje pale unapokuta kila kona wananchi wanalia njaa na ni wachafu wa kupindukia?

??

Alafu wanawekana serikali kwa kujuana.....Nchi inateketea hivi hivi na sisi wananchi tunaona!!
Migodi Yooote, imeuzwa ....miji iliyong'ara kutokana na madini inadidimia.....fika Arusha, hakuna tena jeuri ya pesa za vijana wale.

..... ..... tuwakatae, baada ya kula hela zao.
WaTz TUAMKE, TUPAMBANE NA WAHUNI HAWA.


1. Nani wa kulaumiwa?
2. Nani wa kufunga paka kengele???

Nadhnani ndugu Edwinito ameongea la maana sana, kwani tatizo si sisiemu tatizo ni sisi wenyewe!

Wengi wetu tuna hasira na tunataabika na huu ukapa tulioletewa na hawa jamaa, kila kitu wameuza, na sisi kama tulivyo kura tunaendelea kuwapa! Je nani anatakiwa aone aibu? sisi watanzania tunaowapa kura au hao wanaopewa kura? Ujinga, ulafi na umbumbumbu wetu unaipeleka nchi pabaya, angekuwa sisi watanzania wote tunakataa huo ujinga wao wala wasingeendelea kutawala!
 
Nadhnani ndugu Edwinito ameongea la maana sana, kwani tatizo si sisiemu tatizo ni sisi wenyewe!

Wengi wetu tuna hasira na tunataabika na huu ukapa tulioletewa na hawa jamaa, kila kitu wameuza, na sisi kama tulivyo kura tunaendelea kuwapa! Je nani anatakiwa aone aibu? sisi watanzania tunaowapa kura au hao wanaopewa kura? Ujinga, ulafi na umbumbumbu wetu unaipeleka nchi pabaya, angekuwa sisi watanzania wote tunakataa huo ujinga wao wala wasingeendelea kutawala!

Mkuu....CCM haijawahi kushinda kihalali....wanaibaga kura hasa vijijini.
 
23. Mchanga wenye madini hadi sasa uko unasombwa kuelekea bandari ya Tanga, hii ni tangu 2001.
 
Hizi kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji jitokezeni na wahamasisheni na wenye machungu kama yenu kuwa sie tushakula na kushiba na bado tutavimbiwa! amkeni mie nimewastua tu kidogo kwani hili fupa lilivyokuwa tamu hata mpango wa kuliachia hatuna!
 
Mlitaka CCM ifanye nini? imeua vipi vitu hivyo? mbona hamfafanui? CCM ni taasisi kwa maana ya chama, kuna watu wametajwa kwenye baadhi ya madudu na hatua zimechukuliwa. sasa hapo inakuwaje? hebu jaribuni kujenga hoja na tuijadili, kuliko kuropoka tu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom