CCM umeuwa viwanda vyetu, wananchi tutaishije?

bodaboda2

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
872
230
CCM imesababisha viwanda vyetu kufungwa na kupelekea mimi mwananchi kukosa ajira! Nchi hii ilikuwa na viwanda kibao na vyoote vimeuzwa au kufa na vingine kugeuzwa maghala:

UDA Imeuzwa

UFI imeuzwa

Tanganyika packers imekufa

Urafiki imekufa

Zzk mbeya imekufa

ATC imekufa

NBC imeuzwa

Mashine tools moshi imekufa

General tyre arusha imekufa

Mwatex imekufa

Sungura textile. Imekufa

Mutex imekufa

Bora imekufa

NMC imeuzwa

Tanita imeuzwa

Tazara inakufa

TRC ilikaribia kufa na sasa inasota na scandal ya mabehewa mabovu

Kibo match imekufa.

RIP CCM
 
Hao walioua si ndio wako ukawa? mbona hukuitaja aicc na narco? wakati haya yote yakifa mshauri wa uchumi alikuwa lipumba ambae sasa ni mwenyekiti mwandamizi wa ukawa, gavana wa benki kuu ndo huyo mmiliki wa ukawa, simuulizane huko kwenye vikao vya ndani.

Ndo maana tunataka kuunda serikali mpya, yeyote aliyefanyakazi na mwalimu ataishia ubunge tu.
 
shame on ur hopeless face..... Gavana Wa bank kuu CCM mliomficha na kutuaminisha amekufa ili kuzima ufisadi wa EPA!! Maana hata Baba Riz EPA inamuhusu!! Ni uzuzu uliotukuka kuchagua Ccm ile ya majizi yale yale yanaorudi mjengoni tena
 
Back
Top Bottom