Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,214
- 42,087
Hivi kule UKAWA nani alishawi kuchukua fomu kumpinga Mbowe?Nimeisoma taarifa ya msemaji wa chama Ndugu Ole Sendeka inaonesha kwamba tarehe 23/July kuna makabidhiano ya Kijiti cha Mwenyekiti.
Sasa najiuliza, hakuna tangazo la kuchukua wala kurudisha fomu! Pia hakuna kujinadi wala kunadiwa!
Nadhani mfumo wa kukabidhiana ulifaa sana kwa miaka 1960s, 1970s, 1980s lakini sio katika zama hizi?
# Domokrasia
Hivi nani alichukua Fomu kumpinga Lowasa fisadi?
CCM ni ruksa kuchukua fomu kupimana ubavu tofauti na chadema ni dhambi ya usaliti!