Kwa akili ya kawaida
Tujiulize Bunge letu linafanya kazi ya kuisimamimia Serikali au linashirikiana na Serikali?
Bunge ni chombo cha wananchi ambacho hutakiwa kuisimamia Serikali na kuishauri kwenye mambo kadha wa kadha, sasa tujiulize ni Sheria ngapi za kumuumiza mwananchi zimepitia kwenye Bunge husika kwa mfano
1. Sheria ya tozo
2. Kodi ya mazao ya asilimia 2
Hii trend ya kuita raia kwenye kamati ya maadili naona ndio ilianza kuwafanya watu wapuuzie Bunge na sio Jenerali Ulimwengu pekee watanzania wengi Bunge wameshaliona hamna kitu
Bunge la Mzee Sitta na Bunge la Mama Makinda yalikuwa mabunge yaliyojawa hoja za maana na yaliheshimika kuliko sasa hivi
N:B Ndugai Acha kutisha watu wewe timiza majukumu yako heshima itakuja kutokana na kazi na sio vitisho.