Kama umeoa ni moja kwa siku.
Kama hujaoa, unavaa mpaka ukipata kazi unanunua mpya ya zamani unatupa. Siku ukipata kazi tena unatupa hiyo unanunua mpya.
Changamoto ni pale unapata kazi ya kushtukiza, nilishawahi kutupa boxer kwenye dustbin ya hotelini kabla, sikumbuki ilikuwaje.
Mkuu miezi 6 inatosha sanaSwali kwa wadau wote wa boxer.
Swali jepesi sana.
Mimi kawaida huwa na vaa boxer miezi 6 hadi 8 kisha ndo nafua huyo ni mimi.
Siijajua kwa ninyi wadauu
Kuwa mkwelii tu
View attachment 1103899
Mi bhana hizi huwa nazinunua kwa mafungu na kinachofuata hapo, ni vaa, tupa uvunguni! Vaa, tupa uvunguni! Kwa bahati mbaya nimesafiri, ningezifurumia uvunguni kuona zipo ngapi na mchagoni ambazo sijavaa zimebaki ngapi na hapo ningefahamu by average natumia wiki ngapi! Oh! Nimekumbuka! Hello my Princess Queen Khantwe; hebu nenda basi pale ghetto ukanisaidie hilo zoezi!
Uko sawa mkuu, asa wengine sijui wana imani gani
Kisa boxer?Huyo nimemnunia tangu leo jioni
Kisa boxer?
Hahaha...Vaa mpaka unahakikisha inasimama mkuu au ukijaribu kukunja inavunjika
Daah Don Clericuzio huyuhuyu nnayemjua mimi au mtu kaiba simu yake?Si kuna uzi fulani hivi nimemwambia kaniumiza akaja kuniambia 'nikome' eti
Daah Don Clericuzio huyuhuyu nnayemjua mimi au mtu kaiba simu yake?
Kumbe jukwaa la michezo, everything is fair in love and war...michezo ni fita muraHuyo huyo tena jukwaa la michezo kule
Hakuna aliyeiba simu yake manake ni mwandiko wake ule
Kama umeoa ni moja kwa siku.
Kama hujaoa, unavaa mpaka ukipata kazi unanunua mpya ya zamani unatupa. Siku ukipata kazi tena unatupa hiyo unanunua mpya.
Changamoto ni pale unapata kazi ya kushtukiza, nilishawahi kutupa boxer kwenye dustbin ya hotelini kabla, sikumbuki ilikuwaje.
Kumbe jukwaa la michezo, everything is fair in love and war...michezo ni fita mura
Sasa kule ni michezoni, ya uwanjani yanabaki uwanjani...msamehe muraHahahah ila sio fair manake mimi sijawahi kumfanyia vile hata kama ni jukwaa la michezo muraa