Hivi boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi?

Nilienda weekend nimezichoma moto. Na ukiendelea na hiyo tabia nitakurudishia kishika uchumba
Mi bhana hizi huwa nazinunua kwa mafungu na kinachofuata hapo, ni vaa, tupa uvunguni! Vaa, tupa uvunguni! Kwa bahati mbaya nimesafiri, ningezifurumia uvunguni kuona zipo ngapi na mchagoni ambazo sijavaa zimebaki ngapi na hapo ningefahamu by average natumia wiki ngapi! Oh! Nimekumbuka! Hello my Princess Queen Khantwe; hebu nenda basi pale ghetto ukanisaidie hilo zoezi!
 
Kama umeoa ni moja kwa siku.

Kama hujaoa, unavaa mpaka ukipata kazi unanunua mpya ya zamani unatupa. Siku ukipata kazi tena unatupa hiyo unanunua mpya.

Changamoto ni pale unapata kazi ya kushtukiza, nilishawahi kutupa boxer kwenye dustbin ya hotelini kabla, sikumbuki ilikuwaje.
, mkuu kwahiyo kubadilisha boxer ni direct proportional na upatikanaji wa kibarua??
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom