Hivi Bongo Tutafika HAPAAA

itafika tu sababu hivi vitu vipo vimeisha undwa, utajiri wa mali asili ipo kasoro ni ubongo tu. siku hiyo tutakuwa watu bongo lakini sasa in mbuzi bongo !!
 
we mbuzi mzee ujui kama kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake sisi hapa 2lipo ni urefu wakamba yetu
 
Hata MUNGU aliyeumba Dunia akiamua nchi zote ziwe sawa kiuchumu na tuanze sawa, baada muda kama kawa wa TZ tutabaki palepale.
 
Tukifikia hapo walioko watakuwa wanaishi kwenye sayari kama Mars na hata Pluto. Tunaweza kama tutaandaa mfumo unaojitegemea na kujiendesha badala ya huu wa kijambazi na kifisadi.
 
tunajadili tutafukaje wakati kwa wenzetu ndio kunachakaa ukiangalia picha vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…