Hivi Bongo Tutafika HAPAAA

Hivi Bongo Tutafika HAPAAA

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
68356_382846218461341_651220633_n.jpg
 
itafika tu sababu hivi vitu vipo vimeisha undwa, utajiri wa mali asili ipo kasoro ni ubongo tu. siku hiyo tutakuwa watu bongo lakini sasa in mbuzi bongo !!
 
Halafu ukiweza kujenga reli na daraja tu ushaweza kujenga hivyo.
 
Baadae sana maana hata kiingie chama gani bado safari ni ndefu
 
tutafika haraka haraka haina baraka
 
we mbuzi mzee ujui kama kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake sisi hapa 2lipo ni urefu wakamba yetu
 
Hata MUNGU aliyeumba Dunia akiamua nchi zote ziwe sawa kiuchumu na tuanze sawa, baada muda kama kawa wa TZ tutabaki palepale.
 
Tutafika tu wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini?
 
Tukifikia hapo walioko watakuwa wanaishi kwenye sayari kama Mars na hata Pluto. Tunaweza kama tutaandaa mfumo unaojitegemea na kujiendesha badala ya huu wa kijambazi na kifisadi.
 
tunajadili tutafukaje wakati kwa wenzetu ndio kunachakaa ukiangalia picha vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom