Hivi Bongo Tutafika HAPAAA

Hivi Bongo Tutafika HAPAAA

hivi kwa nini wazungu wana akili kuliko sisi?simaanishi akili ya kuiba
 
Labda Mwakyembe,Slaa,Magufuli,Mbowe,Lissu na Mnyika washike nafasi za uraisi,waziri mkuu,spika wa bunge,waziri wa miundombinu,na mkurugenzi wa TAKUKURU, afu magamba wote watolewe kwenye system labda ndo tutakaribia huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom