Hivi Bongo Hii Kitu Haiwezekani Kweli.........

hahahaha........hivi kumbe inaruhusiwa
Halafu sticker huwa hazina sehemu maalumu ya kubandika ndio maana hata trafiki akikuta umebandika nyuma ya kioocha gari anaishia kukwambia "Si ungebandika mbele ili ionekane vizuri"
 
Siku hizi natengeneza urafiki na kila trafic ninayekutana nae kwenye hizi barabara zetu za vumbi maana hii biashara ya kusimamishwa kila siku na kuulizwa sijui sticker sijui fire extinguisher nimezichhoka
 
Utakuwa unapeta sana ngoja nimtaarifu OCD
 
Zile ni miradi ya polisi buku 5 lakini kuipata mzee mbinde

Mkuu bei halali ni buku 3 nimeenda kituoni hapa arusha jana nikaambiwa buku 10, yaani askari anatia mfukoni zaidi ya kinachoingia serikalini
 
Ikifika wakati wa wiki ya usalama huwa ni balaa yaani ndio askari nao wanapata pa kuvuna pesa
 
Siku hizi natengeneza urafiki na kila trafic ninayekutana nae kwenye hizi barabara zetu za vumbi maana hii biashara ya kusimamishwa kila siku na kuulizwa sijui sticker sijui fire extinguisher nimezichhoka
Kweli hiyo ndo dawa.
 
Back
Top Bottom