Hivi Bongo Hii Kitu Haiwezekani Kweli.........

Lol....walahi ningekuwa na sticker ya hivyo naibandika mbele ya kioo inakuwa peke yake zile zingine za insurance naziweka kioo cha nyuma

wanatoa kwa magari ya biashara kila mwaka.......hebu jaribu kwenda pale uombe hiyo sticker usikie mziki wake
 
ukienda kudai upatiwe TAX Clearance certificate utajuta unaweza kupewa kodi ya ajabu unajiuliza walikuwa wapi siku zote waiskudai hiyo kodi yote hiyo ni mianya ya r****wa.....bila kurekebisha mfumo mzima hii kitu ni ndoto.......na mabadiliko mojawapo ni kujua kodi zeetu zinafanya kazi gani au ndio 80% anasa 20% maendeleao
Kuna jamaa alichomeshwa mahindi kwenye hiyo kitu mbona aliwajua vizuri jamaa
 
wanatoa kwa magari ya biashara kila mwaka.......hebu jaribu kwenda pale uombe hiyo sticker usikie mziki wake
Mbona habari yake naijua vizuri tuliishapigishwa round sema tu kuna jamaa tulikuwa tunamfahamu ndio tukapata fasta
 
wanatoa kwa magari ya biashara kila mwaka.......hebu jaribu kwenda pale uombe hiyo sticker usikie mziki wake

Umesikia kuna mapolisi yaliiba hizo sticka za wiki nenda kwa usalam yalikuwa mapolisi ma3 yaliiba mzigo mkubwa sana ili yazitawanye mitaani buku 20 unapata fasta sticka, Gerezani pale ni soko la kila kitu hata mhuri wa Ikulu unapata Gerezani pale
 
usiombe ndio kipindi cha mavuno bado hawajatoa ile ya fire extinguisher utajuta kuendesha gari
Hahaha!!! Umenikumbusha kuna mama mmoja alisimamishwa na trafiki akaulizwa fire extinguisher akamwambia trafiki aangalia nyuma ya buti ya gari ile trafiki anacheki anakutana na square, mama wa watu akamkomalia trafiki kuwa ndio hiyo trafiki ilibidi amuache aende zake tu
 
TF usiombe kwenda pale kufatuta hiyo kitu daaah nakwambia hii nchi ni madudu kila kona hakuna afadhali.............sasa ndio utegemee kila gari kuwa nayo

Wanazisambaza mitaani kwa madealer wao, kihalali ni buku 3 au 5 lakini ukienda Central utazungushwa mpaka ukome, mwisho wa siku inabidi unyonyeshe mkono utaambiwa gari lazima likaguliwe aje vehicle inspector ajiridhishe.
 
Mbona habari yake naijua vizuri tuliishapigishwa round sema tu kuna jamaa tulikuwa tunamfahamu ndio tukapata fasta

afadhali wewe unamfahamu mtu sasa chukulia wakina sie huna hata binamu wa kusingiziwa pale unaambiwa njoo kesho mpaka mwishowe unaamua kusepa zako.....unabaki kuwakimbia traffic mpaka mwaka unakwisha
 
TF usiombe kwenda pale kufatuta hiyo kitu daaah nakwambia hii nchi ni madudu kila kona hakuna afadhali.............sasa ndio utegemee kila gari kuwa nayo
Ndio maana kuna jamaa yangu yeye akiagiza gari anawaambia jamaa wamalize kila kitu maana kuna siku alienda kufuatilia kitu kidogo tu akakaa siku nzima bila kuambulia chochote
 
afadhali wewe unamfahamu mtu sasa chukulia wakina sie huna hata binamu wa kusingiziwa pale unaambiwa njoo kesho mpaka mwishowe unaamua kusepa zako.....unabaki kuwakimbia traffic mpaka mwaka unakwisha
Jamaa unawakuta hadi kwenye vichochoro vya kwend anyumbani kwako wanasubiri wakupige mkono ili mradi wacheki tu kama gari ina sticker
 
Hahaha!!! Umenikumbusha kuna mama mmoja alisimamishwa na trafiki akaulizwa fire extinguisher akamwambia trafiki aangalia nyuma ya buti ya gari ile trafiki anacheki anakutana na square, mama wa watu akamkomalia trafiki kuwa ndio hiyo trafiki ilibidi amuache aende zake tu

wanachoniudhi kwenye fire extinguisher wanataka ununue kwao wakati gari nyingine zinakuja nazo ukiwaonyesha wanazikataa yaaaani wizi mtupu..................kuna mzee mmoja alikuwa anaishi Marekani amekuja bongo na magari yake siku mmoja amekamatwa kuulizwa fire ex akaonyesha kadogo kared kapo kwenye gari traffic wakakataa wakamwambia hiyo sio fire ex yule mzee aliwatukana mbaya sana na amegoma kununua zile zao hadi leo.....zile ni za ukweli lakini huku bongo tunazikataa kama sio wizi nini
 
Hapa wamerudi kutoka kazini.......

na mimi nkiwa na ka hyundai i10 ntaiweka wapi iyo stika?
Hapo itakuwa uonevu,mana stika kubwa 3/ 4 kukaribia ukubwa kioo cha mbele.
 
Hii kitu inawezekana sana, sema tu sisi watz hatuna utamaduni wa kuhoji kodi zetu zinatumika vipi. Hebu fikiria Mkuu wa wilaya na shangingi la ml. 80 anatembelea shule ya msingi isiyo na madirisha wala milango, kodi badala ya kurekebisha shule inaishia kwenye gharama kubwa za magari ya kifahari na mafuta ya safari za wakubwa
Ni kweli kabisa inauma sana, njia sahihi ni kuipiga chini serikali ya ccm 2015
 
Back
Top Bottom