Hivi Bikira ina faida gani?

Hivi Bikira ina faida gani?

Status
Not open for further replies.
...... Inakuletea heshima flani kwa mwenza wako hii ni kwa pande zote mwanamume na mwanamke.
 
Ninachojua ni kuwa at one time itabidi zinapaswa kuondolewa ili kuendeleza kizazi kijacho.[/QUOTE]

Hii nimeipenda sana na haijalishi ilitolewa wakati gani na nani kaitoa..teh teh teh
 
Mi naona bikira inazidisha heshima ndani ya ndoa pia mwanaume anakuwa na imani kama aliweza kujitunza mpaka wakati wa ndoa basi anaweza kuendelea kuwa mwaminifu kwenye ndoa.
 
Mi naona bikira inazidisha heshima ndani ya ndoa pia mwanaume anakuwa na imani kama aliweza kujitunza mpaka wakati wa ndoa basi anaweza kuendelea kuwa mwaminifu kwenye ndoa.

1.Una point..lakini ushasikia kuhusu watu - wanawake na wanaume wanaokuja kuanza kujanjaruka ukubwani katika kujaribu kutafuta kujua kile walichokikosa ujanani?

2.Hiki ulichokisema wewe ni zamani wakati kulikuwa hakuna utandawazi, jamii zilikuwa zimejifungia, mtu wa kijiji fulani hajui kinachoendelea kijiji cha pili, kabila moja lilikuwa haliingiliani na kabila lingine nk.Siku hizi mawasiliano na upashanaji habari huchochea mambo mengi sana kuanzia kwenye maisha ya kawaida hadi mambo ya chumbani.Usijidanganye kuwa kwa vile umeoa/umeolewa na bikira basi ndivyo itakavyobaki hadi kifo kiwatenganishe.

3.Katika tafiti zangu nimeweza kugundua kuwa kwa ulimwengu wa sasa, ni afadhali ukutane na mtu ambaye amepitia mambo mbalimbali na kuamua kutulia kuliko kuja wewe kuwa kianzio katika safari ya maisha.Ofcourse hii ishu ni nyeti na watu wengi hawako wakweli wala wawazi kujadili .Wengi watakupa the ideal situation na siyo lazima ikawa kile wakitendacho au wanachokiamini.

4.Hata hapa jamvini, kuna unafiki sana.Mtu anayesema ukweli kwa vile ni mawazo radical na ya ukweli lakini yanakinzana na mtizamo unaokubali basi atashambuliwa sana na kulaumiwa.
NO OFFENCE INTENDED.
 
Nimekupata dadaa!
 
Usijali dear, wala hujaniboa kwa upande wangu maana huo ndo ukweli. Hata hao wanaowaita wa bush ndo kwishnei kabisa. Sio eti na mtusi akitaka bikra kwa sasa zaa wa kwako na umlee kwenye mahandaki asikutane na mtuu yeyeyote. Na ukiangalia hata haka kamchezo ka kuliwa tigo kalikoingia sasa, unafanyika sana ili kutunza ile sehemu ya mbele isichakazwe sana then muhusika akashtukia. Wala tigo wenyewe wanaona ni fahari kweli kumbe kalishwa ushafuu tuu then kule kusafi kunapelekewa muhusika taratibu kukiwa safi bin salama. U sleeping men wake up acheni kupumbazwa na wanawake wakileo.

Penny yaani kama ulikuwa na mimi kimawazo kuhusu hako katabia ulikokanyambua hapo juu ndg yangu, nadhani waliwao sasa tumeelewana sio !!!! B careful wizi mtupu!!
 
Hii ni mila za tamaduni nyingi duniani, ililetwa when the world was at utopian phase, away from all the evils. The woman was not expected to be sleeping around similarly with the man there could be no chances of him doing so. It was not done with white bedsheets and it was automatically implied the bride and groom are to be virgins, no need of proof.

-Talking about benefits, its honor to the bride and her family and I can say a gift of love to the husband which make the love and affection even stronger.

-Couples tend remain faithful for rest of life, as there is no kugema or kumegwa out kwasababu swala la kujua ladha tofauti hazitokuwepo and simply no exposure.

At later stage, this was misused, double standard on woman were put in place, with all white bedsheet so that the blood can be seen and its must to have sex on the wedding day eventhough the couples do not feel like.

-We fail to understand its shame to put the private moment of the new couples on the headlines and everyone will be alerted with the outcome next morning. Kama mambo ni mazuri, you will be gifted and congratulated, kama ni mabaya utakiona cha mtema kuni kutoka mume mwenyewe, mawifi, wakwe and don't forget the shame you gonna carry throughout your life.

-We fail to understand that a virgin woman does not necessary has to bleed, there some kind of membrane, elastic kind will not let the blood coming out.

-Men started to demand virgin on the wedding day regardles if he has been the most sleeping around person on the face of planet.

With above pressure on women, then came Chinese savior, now women do not need to worry about this double standard anymore. Its payback time and should not be complain.

I am not saying its good practise on women but ENOUGH is ENOUGHT atleast men should STOP being so adamant while themselves are not! Women are human being too.

Regards
 
...... Inakuletea heshima flani kwa mwenza wako hii ni kwa pande zote mwanamume na mwanamke.
kama mwanaume ni msh**zi wa tabia hata akikukuta nayo habadiliki habadilili
kuna mfanyakazi mwenzangu alitoka huku akaenda kuchukua brand new kijijini kwao, siku ya 4 baada ya ndoa yao mwanaume anaanza kona!!
 
Utamaduni wa kutunza bikra kwa waafrika ni mbinu ya kuwazuia mabint wasifanye ngono au kupata mimba kabla ya kuolewa, kutandika shuka nyeupe wakati wa harusi ni kuidhihirishia jamii kwamba binti huyo kafaulu mtihani wa balehe hivyo anstahili heshma na wazazi wake.

Kwa wanaume huwezi kupima bikra kwani hata kama hajafanya ngono, vichupa vikijaa ataota usiku na kuvimwaga. Hata hivyo kimaumbile ngono haina madhara makubwa kwa wanaume ukilinganisha na mabinti ambao waweza kupata mimba na viungo vyao kupanuka.
 
Kwa wanaume huwezi kupima bikra kwani hata kama hajafanya ngono, vichupa vikijaa ataota usiku na kuvimwaga. Hata hivyo kimaumbile ngono haina madhara makubwa kwa wanaume ukilinganisha na mabinti ambao waweza kupata mimba na viungo vyao kupanuka.[/QUOTE]

teh teh teh!inawezekana kabisa kumjua mwanume ambaye hajawahi kumjua mwanamke..hupimi kwa utoaji wa manii.
 
teh teh teh!i nawezekana kabisa kumjua mwanume ambaye hajawahi kumjua mwanamke..hupimi kwa utoaji wa manii.

Bikra inasisitizwa kwa mwanamke ili kuzuia madhara yanayosababishwa na ngono kama vile mimba zisizokusudiwa. Kwa wanaume ngono haina madhara hasa huko zamani ambako hata maradhi ya zinaa kulikua hamna hivyo hakukua na umuhimu wa kusisitiza bikira.
 
Kwahiyo hoja ni miba tu na sio kingine?
 
Pape ndugu yangu hapa umechemsha. Hii mila ikirudi bikira za mchina ndio zitaongezeka kila kona ya nchi.Inavyoonekana kuna kitu zaidi ya hii heshima ambyo wengi wamesema humu ndo maana mabinti hufikia hatua ya kutafuta bikira bandia na inasemekana huko Zanzibar baadhi ya mabinti hufanya kinyume na maumbile kama hawajaolewa ili kuprotect bikira zao.

Hii ni kweli kabisa..,big up
 
Wewe unawezaje kumjua??? please be real!

Ndugu yangu hapa namanisha uwezekano wa kumtambua mwanaume kisayansi na sio kikawaida kama wengi mnavyofikiria.Kama imewezekana kupima DNA ya mtoto aliyeko tumboni na kufahamu baba halisi na pia kama imwewzekana kufahamu jinsia ya mtoto aliyeko tumboni kwanini ishindikane kufahamu mwanaume aliyekwisha mjua mwanamke?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom