unacheka unamana gani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 472
- 484
Nimefanya tafiti bubu kwa wanawake wengi kuhusu bad boys.
Wengi wanasema hawawataki bad boys,,
Na humu JF kuna nyuzi zinasema bad boys wanapendwa sana na wanawake.
Sasa hii imekaaje?
Yaani kuna bro ana hela alikuwa anamuwinda mtoto wa chuo.
Yule demu alikuwa anamjibu bro anavyotaka,, licha ya bro kuwa na hela sana.
Hela zake anakula akimtext sometimes anamtusi kabisa.
Mimi bro wangu ana hela ila si muhuni,, mstaarabu na hataki shida zisizo na msingi.
Pia ni mtu mwenye utu sana, na mwenye huruma.
Sasa kwa nini analipwa upuuzi na huyu binti?
Ilifika wakati aligharamia lunch ya familia nzima ya huyu demu siku ya graduation ya msichana huyu.
Akamgusia mama yake binti kuwa ana mpango na yule binti.
Cha ajabu binti alimtolea bro boko mbele yetu sote.
Nachelea kusema inakuwaje mbona huu ni mtambuka?