Hii kweli kabisa, wanawake hawapendi wanaume wanaojali sana(caring),wanaokuwa bize sana,waliotulia au wapole japo hapa sio wote, kwahiyo ni kitu cha kawaida kuona mwanamke mrembo wenyewe wanaitwa pisikali kuwa na wanaume (bad boy) ambao utakuta wahuni,waongeaji sana,hawajali sana,hawana kipato kikubwa sana,mabishoo nk.Ukifatilia single mother wengine asilimia kubwa wameangukia kwa watu hawa,ila wakija kupata watu wa kuwaoa huwa wanaangukia katika kundi la kwanza hapo.Huu sio utafiti rasmi ila kwa asilimia kubwa ipo hivyo.