Mbona kila anaetetea dawa za huyu Babu wa LOLIONDO anaonekana kama ni mpenzi au Mkereketwa wa CDM? maana wote wanaotetea hiyo dawa ukifuatilia post zao nyingi utaona wameshabikia CDM!!!
Sasa napata wasiwasi kuwa huenda huyu BABU anauhusiano au ni Mpenzi wa CDM hivyo wanaotetea dawa hiyo tata hawaoni wala hawasikii ili mradi wanatetea dawa inayotolewa na mwenzao hapa ndipo tulipofikishwa WaTZ!!!!!!

wagonjwa wengi ni wana ccm maana wengi wao wanasumbuliwa na magonjwa sugu ukiwemo ulw wa kisasa
Maneno yako yangekuwa na busara na hekima kama post yake ingeachana na udini.
Kimsingi unaposhambulia dini ya mtu mmoja daima unawalenga hata wasiohusika ndani ya dini unayoisakama.
Udini ni kimbilio la wapumbuvu. Ni kichaka cha kujificha wapumbafu.