FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Jamani Napata tabu kuelewa ...ukizingatia nishakula chumvi nyingi sana
Wanamanisha nini unamsalimia mtu kwa kumshika mkono harafu anakutekenya katikati ya kiganja??:confused2:
Nimeuliza hivi kwa mshangao ni baada ya kukutana nayo katika namna tofauti tofauti...hasa ukizingatia mie ni mama mwenye nyumba na pete kubwa kidoleni kuwa nina hati miliki tayari..
1.Tukio la kwanza Nikiwa natoka church nashikana mkono na mtumishi aliyetulisha neno la mungu kama siku zote tunavyofanya enendeni na amani ya bwana ..akafanya kitendo hiki....
:angry:
2. Baba ninayemheshimu sana akiwa na mama watoto wake wote nimewasalimia kwa kuwashika mikono nikakutana na kitendo hiki....
:angry:
3.Nikiwa na mheshimiwa Rais kwenye ziara moja mtu mmoja ngazi za kuheshimika akafanya kitendo hiki..
:angry:
4.Na mtu aliyenifanya niulize zaidi ..mie nimepishana na -Boss ninayemheshimi akafanya kitendo hiki...
****************** Ni Nini?***********************