Hivi baada ya hapo anakuwa mkeo tena.......? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi baada ya hapo anakuwa mkeo tena.......?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sinafungu, May 11, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Mwanamke hukumkuta bikira, mmekutana kila mtu ni mtaaluma. unaenda kwa mganga wa kienyeji kufanyia miziziology , anachukuliwa na jamaa guest wananatiana hadi jamii yooote wanajua na siku hizi picha kabakaba za simu na zinaenea ktk mitandao yooote,(hakuna siri) je ndo umemkomoa au umejikomoa, inakuwaje baada ya hapo......?
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hata sijui...
   
 3. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  unamfanyia miziziology halafu anachukuliwa tena? mbona ngumu kueleweka...
   
 4. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  hebu rudia tena kuhadithia...
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Hapa hata mimi sijakuelewa!
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama mpango wa kumuacha huna utakua mpumbavu. . .kama unao basi umemkomoa yeye na hawara yake.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kama wale Wakenya ambao video yao imesambaa kila mahali?
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  sijaelewa kitu, ulitaka kufikisha ujumbe gani?
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160

  Kongosho
  Wifi hujala bado?

  Anauliza watu wanaokamatana ugoni kwa njia za kisasa (kunasisha wahusika) wanamkomoa nani? Na je mtu akimkamata mke wake kwa style hiyo anarudiana nae?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Nilikua sijaelewa but thank you Lizzy nimeelewa sasa..
  From there sidhani kama wataendelea kuwa mume na mke,hakuna atakaye kua tayari kuendeleza mahusiano na mwenzie...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...