Hivi augustino mrema nae ni doctor? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi augustino mrema nae ni doctor?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kipilipili, Jun 14, 2011.

 1. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,068
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Ninafuatilia kikao cha bunge,mh spika amemtaja mrema km Dr agustino lyatonga mrema.pia waziri aliejibu swali la mrema ametaja km dr mrema.je mrema ni doctor tangu lini?ni medical doctor au ana Phd?au ni zile Phd za kuungaunga na kupewa shahada za heshima?
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,638
  Likes Received: 1,664
  Trophy Points: 280
  Ni Dr kama alivyo Dr JK! aibu tupu nchi hii.
   
 3. Yousuph .M.

  Yousuph .M. Senior Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  YES, ni daktari wa heshima, alitunukiwa na moja ya universities za ukanda wa kusini mwa bonde la sahara. ni Dr. Augustine Lyatonga Mrema.
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,070
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hahaaaa yaani mrema dr?????? kazi ipo mwaka huu...bado profesa maji marefu naye ...
   
 5. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 783
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nchi hii yeyote anaweza kujiita doctor au professor na akaheshimiwa.
  Mungu ibariki Tanzania
   
 6. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Dr Mremaaaaa!!! kaazi kwelikweli
   
 7. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,517
  Likes Received: 2,607
  Trophy Points: 280
  Kuanzia ksho na mie nakuwa dr...nimepewa heshima hyo na jirani yangu!
  via Mobile
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33,785
  Likes Received: 8,348
  Trophy Points: 280
  Wewe sasa unaleta vichekesho, mtu tayari ni profesa sasa huo udoctor yeye wa nini tena? au hujui kama ameshavuka hadhi ya udoctor?
   
 9. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,568
  Likes Received: 1,955
  Trophy Points: 280
  Hata mimi kwa heshima na taadhima napenda kuwahabarisha kuwa nimepewa Udokta wa heshima na kijiji changu cha asili....Dr. Kinyungu bin Ulanzi wa Ng'ombe
   
 10. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Permanent Head Disorder (PhD).....
   
 11. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 824
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 80
  hata kama wa heshim asa yule nae amefanya nini?

  bongo bana!!!!!!!
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,139
  Likes Received: 4,063
  Trophy Points: 280
  Angekuwa dr. zamani, mrema wa sasa ni kibaraka wa chama tawala, pale bungeni anaganga njaa tu hana jipya hata kama ni dr..
   
 13. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Wapo wengi tu, wengi wao ni "wasanii", si mnamkumbuka yule aliyekagua miradi ya Wizara ya Afya kule Ngara? Naye atapewa udokta hivi karibuni.
   
 14. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,329
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  Hata kama humkubali yule mzee ila kubali kwamba vyuo vikuu vilko entitled kutoa PhD za heshima na mtu apewae hiyo shahada ya heshima ana haki ya kutumia initial ya Dr japo si wote wanafanya hivyo na afanyae hivyo hajavunja sheria yoyote.
  huu ni utaratibu wa vyuo vikuu dunia nzima.
  so hakuna PhD za kuungaunga na kupewa shahada za heshima kama ulivyosema.
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,342
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Pot hole Driver (PhD).
   
 16. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,254
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Dr. Papa Mopao (PhD)!
   
 17. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,786
  Likes Received: 457
  Trophy Points: 180
  Dr. Mrema? Bado akilini kwangu haikubaliki.
   
 18. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  yeah, here we go again,................ welcome dr agostino lyautwanga mrama!....................
   
 19. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,068
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Sangara,mm cjatamka kua simkubali mh mrema,nadhan umesoma juu ya mstari.mm langu lilikua swali tu,na lilihitaji jibu faafu.
  Labda la msingi ungeniuliza kwa nini nimeuliza juu ya dr mrema??
  Mantiki ni kwamba hvyo vyuo vilivyopewa nafas hyo vinai2mia vbaya kwa sababu cjui hasa ni kigezo gani walikitumia kumtunuku mrema?pamoja na historia yake huko nyuma lakin kwa sasa mrema hastahili kupewa.nikuulize,lipi kubwa alilofanya mpaka aka2nukiwa?kwa nin wasi2nukiwa watu km moringe sokoine,watu ambao wameacha athari chanya ktk nchi hii.TUTUMIE LOGIC,2ACHE USHABIKI!hahahahahaha!ipo cku hata wachekeshaji the comedy nao wataitwa madaktari.hahaha basi nami ni DR.PANGU PAKAVU
   
 20. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hana! Hajawa na hatapata kamwe u dr ktk dunia hii labda ahera!!

  Kwasasa yeye ni sawa na Dr manyaunyau,ntambanamungu,kifimbocheza,kalimauganga,rais mkweere, ndodi nk
   
Loading...