NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,959
- 2,938
Haswaa umenena tena u Dr wake hautofautiani na wa mfugaji mmoja mkazi wa VICHUGUUNI huko KASKAZINI MWA TZHana! Hajawa na hatapata kamwe u dr ktk dunia hii labda ahera!! Kwasasa yeye ni sawa na Dr manyaunyau,ntambanamungu,kifimbocheza,kalimauganga,rais mkweere, ndodi nk