BRAVO 2 ZERO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,216
- 1,283
Wakuu natumaini mko powa... ,jaman mwenzenu kila nikifanya sex "salama" na bby wangu analalamika kuwa namuumiza ingawa kama maandalizi yanakuwa ya kutosha xana mpaka anasema ingiz......,tatizo hili limedumu kwa mda mpaka nahisi kuwa anaweza asiwe anafurahia mechi na akawa ananichora tu, mjegejo wangu sio mkubwa sana kiasi kwamba mi naona inafit vizuri kwake ,mpaka xaxa sielewi nifanyeje kuondokana na hii karaaa, pia sijui kama anaridhika kweli ingawa nkimuuliza anasema ndio. Vile vile baby wangu hapendi denda nimejitahidi kumbembeleza hanielewi ,nifanyeje jaman nipewe manaake denda linaniongezea mzuka........Naamin wana JF mtanipa ushuri na mbinu kwa haya.
Chukua dawa ya mswaki kidogo sana colget. Paka kidogo sana kwenye kichwa cha uume ili ukiingiza povu lisitoke, then ingiza kwa K. Nakwambia utani PM kuniambia amekuambia nini.
Chukua dawa ya mswaki kidogo sana colget. Paka kidogo sana kwenye kichwa cha uume ili ukiingiza povu lisitoke, then ingiza kwa K. Nakwambia utani PM kuniambia amekuambia nini.
Hapa hakuna jibu,furha ya mapenzi ni ya wawili.
Kilammmoja awe muwazi kwa mwenzie.
Issue ya denda ni tatizo kwa wengi,na wengi upigaji wetu wa miswaki ni tatizo.
Mtu anapiga mswaki dakika mbili kamaliza.Unaweza kujiona upo fresh ila unanuka kinywa.
Hii ipo sana.
Na pia sio hilo tu,kuna wanawake hata kunyonywa maziwa hawataki kabisa,tena ukifanya hivyo mzuka woote unaruka.
Sasa mambo haya ni kato ya wawili,pia inaonekana ni mgeni kwenye fani ya mapenzi mkuu.
Maana hata maelezo yako yapo juu chini,sasa kama anasema unamuumiza we unafikiria wajibu wako ni nini?Halafu unasema anaridhika,je kwa maumivu?
Chukua dawa ya mswaki kidogo sana colget. Paka kidogo sana kwenye kichwa cha uume ili ukiingiza povu lisitoke, then ingiza kwa K. Nakwambia utani PM kuniambia amekuambia nini.
mhhh how will it work istoshe natumia condom.
mpige katerero awezi kuumia
ndo nini hiyo kitu