Hivi 2020 Magufuli atatumia njia gani kuomba kura?

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
1,298
Najiuliza kimoyomoyo naona sipati majibu, hebu na nyie wenzangu niambieni huyu Mungu mtu atatumia style gani kuomba kura?

Na ni watu Wa aina gani watampigia hizo kura? Maana hata wendawazimu saivi hawana furaha Nate tena.

Hebu mnaoona mbali niambieni huyu mtu aliyesahau kwamba naye nikiumbe pua inaangalia chini, Mara tu baada ya kuwa raisi amekua ANAKONDA joka kuu la kumeza wanyonge, hivi nani atampigia kura?
 
Tegemeo lake ni kuwatumia akina Kamanda Zirro, Tume ya Uchaguzi ya CCM na JWTZ kuiba kura...kwa hiyo hajali, japo mimi binafsi naamini hatakaa auone uchaguzi wa 2020!
 
Njia hii..
Hii nchi imeibiwa sana..
Nataka niyakomeshe mafisadi ili kusudi yote yaende jela..
Wafanyakazi hewa kila sehemu wamejaa..nitayakomesha haya majizi..
Watanzania tumeibiwa sana..

Hapo watanzania makofi waa waa.. Nderemo vifijo.. "Ari nserema" nyingii. Mambo yanaisha!
 
Najiuliza kimoyomoyo naona sipati majibu, hebu na nyie wenzangu niambieni huyu Mungu mtu atatumia style gani kuomba kura?

Na ni watu Wa aina gani watampigia hizo kura? Maana hata wendawazimu saivi hawana furaha Nate tena.

Hebu mnaoona mbali niambieni huyu mtu aliyesahau kwamba naye nikiumbe pua inaangalia chini, Mara tu baada ya kuwa raisi amekua ANAKONDA joka kuu la kumeza wanyonge, hivi nani atampigia kura?
January makamba yupo watachakachua matokeo kama kawaida yao.
 
Si usubiri uchaguzi mkuui?mbona mnaweweseka?Au ndio arosto zenyewe hizi....na bado !!
Wezi wa kura wapo ingawa hawana raha na mkulu lakini ikifika 2020 pesa ya kuchachua watapewa na Uchakachuaji utafanyika kwa speed kubwa sana.
 
Bajeti ya kuchakachua imeanza mapema wanatunza pesa mpaka kufika 2020 pesa za kuchachua zitakuwa nyingi sana.
 
Ndugu yangu kwa jinsi watanzania wengi walivyo wajinga na wanavyochekesha. Huyu bwana mkubwa atashinda 2020 kwa kishindo ambacho haujawahi kukiona wewe. Hutaamini macho yako.

Mimi ntakachofanya ni kwamba sitaenda kupiga kura tu.. maana hii majuzi hapa nimepoteza muda wangu kukaa kituoni na matokeo yake ndio haya naisoma namba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom