Najaribu kufikiri ni maneno gani mh. Rais atatumia 2020 kuomba kura kwa wananchi wa Kyela! Kuna clip katika instagram ya mdada Mange inayo onesha wakina mama wakivuka mto kwa daraja walilojitengenezea kwa kamba tu huku mto wenye maji yanayoenda kasi ukiwa chini yao! Ni clip ya kusikitisha. Sidhani mtu anayepita katika daraja lile anaweza kuimbakuimba wimbo wa taifa au ule wimbo wa Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
Wale watu ni watanzania, ni miongoni mwetu, sidhani kama kweli rais na waziri wako Mwakyembe mnaweza kuwa face wale watu na kuwaambia eti kuna serikali! Yes mnaweza kusema hivyo, sijui kama watawaelewa, what serikali is for, kama kuna point they have to risk maisha juu ya vikamba vitatu na huku wakimsikia raisi wao akizindua flyover, daraja la bil 260 na huku ina mpango wa kujenga daraja la km 7 baharini! Hawa watu wanasikia kuwa kuna wenzao wanaiba mabilioni ya shilingi.
Mh. Rais na team yako, please tuma watu wachunguze ukweli juu ya clip ile na please wasaidie wale wananchi wako! Mwakyembe kama pale ni kweli jimboni kwako do something, lile eneo ni less than 50m serikali inaweza ku-afford nje ya main budget, mnaweza kusimamisha mbio za Mwenge mwaka huu na bajeti yake ikaenda Kyela!Mwakyembe na Mh. Rais Magufuli, hebu fikirieni aina ya sentensi mtakazotumia 2020 kuomba kura Kyela na maeneo mengine yenye changamoto.