Hivi 2020 kuna Watanzania watakaomchagua Magufuli na CCM yake?

Huwezi shinda kama hukuchaguliwa, na wanaochagua ni watanzania wenye sifa wengi hawana vyama.
Kwa taarifa yako mafisem asilimia themanini wameshinda lkn hawakuchaguliwa,,unaona naaape machungu anayolilia ni madogo baada ya goli la maradona kutumika kuwaingiza wengi halafu leo wamemtosa,,!!??
 
Kwa mtazamo wangu; mambo yalivyo haihitaji watanzania wamchague bali wale ambao hawana mwingine wa kulinganishwa naye, watamchagua. Tuliwahi kupewa mtu mmoja tu wa kupigia kura au duara jeusi ulipigie kura. Watu wakamchagua duara jeusi lakini mwisho wa siku wakaambiwa walimchagua mwenye sura. Upo?? Chaguzi za Tz ni kizungumkuti.
 
Mada tajwa yahusika,

Najiuliza hivi ifikapo 2020 kuna Watanzania wenye akili timamu wataichagua CCM na Magufuli? Kimsingi CCM na mwenyekiti wao hawafai tena kuendelea kuongoza taifa ili kutokana na majanga wanayotusababishia wananchi.

Serikali hii ina dhambi zifuatazo;
1.Kubana demokrasia na Uhuru wa habari/kuongea wanataka habari za kusifiwa tu.
2.Kukamata raia ovyo kisa wanaongea ukweli mchungu dhidi ya serikali.
3.Kuporomosha uchumi na kufanya hali ya maisha kuwa ngumu zaidi.
4.Kuzuia ajira hasa za walimu wa sanaa ambazo ndio zilikua kimbilio la watoto wa maskini.
5.Kula fedha za rambirambi hii ni laana kubwa.
6.Kupitisha mikataba mibovu ya madini na kufanya wazungu watuibie miaka nenda rudi.

Taja madhambi mengine hapa ya CCM ili tuyajue na tuwapige chini ifikapo 2020.
Kwa akili yako wamchague nani tena zaidi yake. Hatutaki majizi bora yabaki huko huko kwenu!
 
Wengi tu watamchagua. Na hata wale ambao hawatamchagua watachagulishwa kwa lazima.
 
a1c5b50bd7743f8ddb075845928c2eb6.jpg
 
Mada tajwa yahusika,

Najiuliza hivi ifikapo 2020 kuna Watanzania wenye akili timamu wataichagua CCM na Magufuli? Kimsingi CCM na mwenyekiti wao hawafai tena kuendelea kuongoza taifa ili kutokana na majanga wanayotusababishia wananchi.

Serikali hii ina dhambi zifuatazo;
1.Kubana demokrasia na Uhuru wa habari/kuongea wanataka habari za kusifiwa tu.
2.Kukamata raia ovyo kisa wanaongea ukweli mchungu dhidi ya serikali.
3.Kuporomosha uchumi na kufanya hali ya maisha kuwa ngumu zaidi.
4.Kuzuia ajira hasa za walimu wa sanaa ambazo ndio zilikua kimbilio la watoto wa maskini.
5.Kula fedha za rambirambi hii ni laana kubwa.
6.Kupitisha mikataba mibovu ya madini na kufanya wazungu watuibie miaka nenda rudi.

Taja madhambi mengine hapa ya CCM ili tuyajue na tuwapige chini ifikapo 2020.

Uchaguzi Afrika ni kama kamari ya kekundu
 
wanaume tumetuliaaaa kimyaaa tunawaangalia wanavyo tapatapa na hii nchi kubabekiiii,kuna wa2 wanakufaa njaaa uko vijijin hamjui tu nyie mandezi,mm nasubir hiyo twenty twenty nisikilizeee hojaaa,sitaki uboyaaa najua viongoz huwa wanatulia kimya alafu wanakuja na hojaaa mezanii,sio kila siku una sahihisha kudadadekiiii mwaka wa tatuuu unaenda
 
Kiwango cha elimu na uelewa wa wapiga kura ndo utakaoamua ushindi wa mgombea hapo itategemea na idadi ya kundi lipi kubwa wenye elimu na wasio na elimu.
 
Mada tajwa yahusika,

Najiuliza hivi ifikapo 2020 kuna Watanzania wenye akili timamu wataichagua CCM na Magufuli? Kimsingi CCM na mwenyekiti wao hawafai tena kuendelea kuongoza taifa ili kutokana na majanga wanayotusababishia wananchi.

Serikali hii ina dhambi zifuatazo;
1.Kubana demokrasia na Uhuru wa habari/kuongea wanataka habari za kusifiwa tu.
2.Kukamata raia ovyo kisa wanaongea ukweli mchungu dhidi ya serikali.
3.Kuporomosha uchumi na kufanya hali ya maisha kuwa ngumu zaidi.
4.Kuzuia ajira hasa za walimu wa sanaa ambazo ndio zilikua kimbilio la watoto wa maskini.
5.Kula fedha za rambirambi hii ni laana kubwa.
6.Kupitisha mikataba mibovu ya madini na kufanya wazungu watuibie miaka nenda rudi.

Taja madhambi mengine hapa ya CCM ili tuyajue na tuwapige chini ifikapo 2020.
Kura zitaongezeka mkuu. Atapata 71% kwa sababu anatekeleza tuliyomtuma kuyatekeleza.

Na mkimrudisha huyo wa kujinyea au fisadi papa jpm atakuwa na 80%
 
Back
Top Bottom