Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,441
Mada tajwa yahusika,
Najiuliza hivi ifikapo 2020 kuna Watanzania wenye akili timamu wataichagua CCM na Magufuli? Kimsingi CCM na mwenyekiti wao hawafai tena kuendelea kuongoza taifa ili kutokana na majanga wanayotusababishia wananchi.
Serikali hii ina dhambi zifuatazo;
1.Kubana demokrasia na Uhuru wa habari/kuongea wanataka habari za kusifiwa tu.
2.Kukamata raia ovyo kisa wanaongea ukweli mchungu dhidi ya serikali.
3.Kuporomosha uchumi na kufanya hali ya maisha kuwa ngumu zaidi.
4.Kuzuia ajira hasa za walimu wa sanaa ambazo ndio zilikua kimbilio la watoto wa maskini.
5.Kula fedha za rambirambi hii ni laana kubwa.
6.Kupitisha mikataba mibovu ya madini na kufanya wazungu watuibie miaka nenda rudi.
Taja madhambi mengine hapa ya CCM ili tuyajue na tuwapige chini ifikapo 2020.