Weka number za simu na picha yakeKuna mtu anasoma chuo kikuu alipata maambukizi ya virus vya ukimwi angali akimuuguza ndg yake aliekua na maambukizi hayo anatafuta mchumba wa kike wa kuoa
Umri:18-25
HIV+
Mkristo(mkatoliki) ama asie mkristo ambae anaweza kua mkristo
Sasa pole ya nini tena mpendwaPole sana
Nampa pole sababu kaambukizwa wakati akimuuguza ndugu yakeSasa pole ya nini tena mpendwa
Umeishia kusoma mabango ya graduate with A's, umetoka huna hata chembe ya hekima na busara, kusoma ni pamoja na kustarabika we kiumbe!!Tunawaambia mkasome mnaongeza na umalaya,kwani hukuona mabango yameandikwa graduate with A's don't graduate with Aid's.
Soma comment number 10.Hivi ile dawa ya HIV ilisemekana imekundulika sio taarifa za kweli ije kusaidia kutibu watu
Kama anatumia dawa hawezi kuwa hatari kwa patner wake. Tafiti za juzi zimeonesha zero chance ya mtu anayetumia dawa kumuambukiza ambaye hajaathirika. Tatizo linakuja, nani atajiamaini au kuishinda hali ya unyanyapaa ya kuoa au kuolewa na muathirika? source: ( https://www.thelancet.com/journals/lancet/article/PIIS0140-6736(19)30701-9/fulltext)
Successful treatment of HIV eliminates sexual transmission-Lacent
Aisee, inawezekana bwana utakuwa umeliona hilo kwa jicho la mwewe. Umesoma article iliyoambatanishwa lakini?Eti kutumia dawa kunapelekea zero chance ya maambukizi,, real!!? How, when!!? Ha ha ha.. polepole kitaeleweka tu,, bado muda kidogo sana hii biashara itajifunga rasmi. Nafikiri sasa hivi wanakuna vichwa kubuni biashara nyingine itajayolipa zaidi ya hii maana kwa hali ilivyo kwa sasa wanatafuta wateja kwa lazma ila kwa ujanja wa hali ya juu
Lol ...hilo bango usinikumbusheTunawaambia mkasome mnaongeza na umalaya,kwani hukuona mabango yameandikwa graduate with A's don't graduate with Aid's.
What a pathetic coment,u better understand your signature before backing like a dog.Umeishia kusoma mabango ya graduate with A's, umetoka huna hata chembe ya hekima na busara, kusoma ni pamoja na kustarabika we kiumbe!!