gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,742
- 18,388
Kenya Jana ilipokea Malaki ya dozi za dawa za kuzuwia (siyo chanjo) maambukizi ya HIV.
Dawa hizo zitagaiwa bure maeneo ambayo maambukizi ni mengi na zitatolewa tu kwa watu ambao hawajaathirika na virusi hivyo.
Kenya first in East Africa to receive long-acting HIV drug Lenacapavir | africa.com Kenya first in East Africa to receive long-acting HIV drug Lenacapavir | africa.com