Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,911
- 3,736
Kuna members naona wanajituma kinoma ila naona ni kama wanarusha jiwe kituo cha polisi.
Kaka yangu kipenzi! Imefika mahala nakosa neno😅Seran mganga wako kiboko...!View attachment 3604641
BIG tulia basi na weweKaka yangu kipenzi! Imefika mahala nakosa neno😅
Nimefanyanini tena?BIG tulia basi na wewe
Yani wananichosha hawa viumbe! Wanasababisha natukanwa naonekana najifungulia nyuzi na kujijibu sijui natoa wapi huo muda aisee!Tafuteni kaz
Mambo ni mawili muolewe au mguswe guswe kishkaji
Wanaume kutwa nzima mnashindana kufungua uzi kwaajir ya mwanamke hamumjui hata sura
Haaaaaaaaaaaah hadi wanamsearch hapo juu waone kacoment nini kwenye kila uziKuna members naona wanajituma kinoma ila naona ni kama wanarusha jiwe kituo cha polisi.
Kipenzi just moves onYani wananichosha hawa viumbe! Wanasababisha natukanwa naonekana najifungulia nyuzi na kujijibu sijui natoa wapi huo muda aisee!
Members gani embu wataje na type stori kwa ufupi kumbe Jf Kuna mambo yanaendelea halafu hatujui ?Huyu atikisiki na mkicheza atawapa doz yenu
Inasikitisha sana , unawavunja moyo shabiki zako kama mtu kaamua kukufungulia Uzi kwa upendo muache tu hao wanaotukana ni washamba tuYani wananichosha hawa viumbe! Wanasababisha natukanwa naonekana najifungulia nyuzi na kujijibu sijui natoa wapi huo muda aisee!
Nipasie Kichungi hicho kwanza halafu nikwambie ulichofanyaNimefanyanini tena?
😃 😀 😄 😁 Nimecheka sanaMembers gani embu wataje na type stori kwa ufupi kumbe Jf Kuna mambo yanaendelea halafu hatujui ?
Yani kuna watu wana kazi ngumu humu acha tu mkuu!Haaaaaaaaaaaah hadi wanamsearch hapo juu waone kacoment nini kwenye kila uzi