HIV-1 ina strains nyingi; baadhi ya strains ni T-cell tropic (T-tropic) na zinatumia CXCR4 kama co-receptor, wakati strains nyingine ni macrophage-tropic (M-tropic) na zinatumia CCR5 kama co-receptor.
Kuna strains chache za HIV-1 ambazo zaweza ku-bind hata CCR3 ama chemokine receptors zingine kwenye cells ambazo zinazi-express hizo chemokines lakini bado roles zao (including CCR3) kwenye HIV-1 infection iko unclear.
Science haiendi kwa logic tu la sivyo mambo yangekuwa marahisi. Ndio maana tafiti zaendelea kila siku hata kwa magonjwa ambayo yamejulikana miaka zaidi ya 100 iliyopita. Usipoelewa logic yawezekana ume-miss point ama kwa present knowledge/technology tuliyonayo bado kuna kitu tunaki-miss, tunatakiwa tukigundue. Hivyo usipende kuwa rigid, go back to your lab ama journals na waweza kujifunza kitu kipya.
there u are mkuu na sijataka kabisa kuongelea different HIV strains before,nilikuwa nataka nizungumzie concept nzima ya ccr5 na cxcr4 ili tuelewane.nashukuru umeanza kuongea wewe na sioni tatizo liko wapi ukashindwa kuona kwamba co receptor moja haiwezi kuwa muhimu zaidi ya nyingine wakati unajua kabisa kwamba kuna strains tofauti tofauti za HIV na zinatumia co-receptors tofauti tena hapo ungeweza kuongeza na NK cells kwa mfano zenye zina CD4 na ccr5 na ziko prone kwa strains zenye kushikana na ccr5.
niliposema logic nilimaanisha kwamba kwa ile mifano miwili niliyotoa ambayo ni sayansi current huhitaji kuwa na Masters ya immunology ili uelewe concept nzima ya umuhimu wa hizi co-receptors.