HIV- Nimebugi step?

acha kuweweseka bro,utakuwa upo fresh tu,inawezekana yeye huyo manzi wako au wewe hiyo miezi 3 unayoitafuta hadi cku mnaenda kupima ilishafika au kukaribia,fanya kazi acha kujipa stress
 
mbona vipimo vya kisasa zaidi vipo, vinatoa majibu kama umeambukizwa 12hrs ago.Hivyo vya kutoa majibu ya uambukizo wa 3 month a go is the old sch

Mkuu kama unavifahamu ni bora kuvianisha hapa jamvini ili kuelimisha jamii.
 
Mungu atakustiri hilo najengine lakini anagali na mimba nayo...
 




Kwa nini uhatarishe maisha yako just kwa starehe ya siku moja???? Kupima mara moja na mkajiona mko vizuri kiafya nadhani haikutakiwa kuwa guarantee ya kufanya ngono nzembe,unatakiwa kuwa makini kwa vile hujui mtu huko alikotoka kama kuna usalama wa kutosha,isije ikawa mtu yuko ktk HIV Incubation period.Penda maisha kijana!!!!!!
 

What if nachovya na daluga?
 

Mi binafsi nimekua najua siku zote kua the only way ya kujua kama HIV status yako ni kupima na i BELIEVED kuwa I did the right thing tulivoenda na mwenzangu kupima, na sioni kama ni ngono hatarishi kama unavosema kwa sababu kama tumeshajijua status zetu na tukawa waaminifu tukapeana sisi wawili tu, ubaya uko wapi hapo?
 


Okay,all the best!!!!!!!!!!!!!
 
Haya wakulu, nimefanya research kidodo na majibu nimeyapa hapa...

How long it takes to test HIV positive after infection | STOP AIDS Project

Na hapa....

How Long Does HIV Take To Show Up In A Blood Test?

Nilijazwaga ujinga miaka ya nyuma na jamaa yangu mmoja ni dokta, anapenda sana chini. Yeye aliniambia kwamba anatembea na kipimo cha ngoma kwenye gari yake, akiokota mlupo sehemu anaupima ili ajue anautafuna vipi...All in all, hawa jamaa zetu wanaofanya hizi campaigns za AIDS waongelee hii issue ya 'window' manake kwa sasa hawaigusii, wanakazania tu watu wakapime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…