HIV na Blood Group | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HIV na Blood Group

Discussion in 'JF Doctor' started by Preta, Dec 11, 2009.

 1. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Wandugu naomba kufahamishwa kwa anaefahamu kama kuna ukweli wowote kwa baadhi ya magroup ya damu huwa virus (hiv positive)haviyashambulii?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  group kama lipi?
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Sijui ndio maana nikauliza
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,134
  Trophy Points: 280
  UKIMWI HAUNA TIBA WALA DAWA..........KATIKA UTAFITI WA KILA SIKU MAMBO YA GROUP HAYATAJWI JAPO KUNA WANAODANGANYA KUWA GROUP 'O' is less vulnerable to aids contamination........
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  O+VE, Mzee wenye hili group wanasurvive kwa muda mrefu na maradhi,

  kinachoua sio UKIMWI, bali ni maradhi yanayoambatana na upungufu wa kinga mwilini sasa huyu mwenye O+ve, yuko strong sana na maradhi kwa maana hiyo anadumu muda mrefu sana na UKIMWi kwa sababu ya strongness ya immunities zake kupambana na maradhi
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Naniliu

  Generally, HIV-1 infections has no relation with blood groups, rather than blood types! Kuna aina 30 za blood grouping zinazo kubalika sasa sijui muuliza swali anataka kundi gani. The common one (ABO) grouping are are based on the presence anti A antibodies and B antibodies usually in IgM antibodies.

  Although, of recent Swedish and Canadian scientists claimed risk of HIV infections are associated with presence of certain molecules in blood cells. They termed these antigens as Pk unaweza soma zaidi (Blood 2009; 113:4980–4991). Pk is a precursor for P, a glycosphingolipid or carbohydrate-containing fat-soluble molecule. Glycosphingolipids are implicated in HIV host-cell fusion. Watu wenye damu zenye Pk kwa wingi wana receptor zakutosha (CCR5)ambazo zinafavor HIV-1 virus kujiatach na kuingilia vinasaba na vikoo vya muhusika. Hii ni study moja huwezi ainisha kwa ujumla wake, cha muhimu ni kuangalia epidemiological distribution ya Pk on cells in the general population and performing HIV infection experiments to see whether there is a correlation. Tafiti hii inatoa mwanga kupredict who is more susceptible to infection, mwanzoni kulikuwa na theories nyingi ambazo nadhani ilikuwa ngumu kuhold water!

  Unaweza niPM kama unahitaji unyambulifu zaidi

  Masa on his way to Kyela!

  NB: Kituko na Jilile79,

  Mnamislead hapa tafadhali toeni evidence kusupport mnachokisema kuhusiana na blood group O. O ni universal donor ningekubaliana kuwa watu wenye group O wanaeneza HIV sana sababu wao hutoa damu kwa kundi lolote kama hakuna checking ya kutosha hasa kwetu vipimo vyetu ovyo ovyo.

  No doubt wenye group O are more protected to severe malaria
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  duh!
  mtani you sound like PROFESSIONAL!my wife anasumbuliwa sana na tumbo.kama ni mtaalamu niambie,namba zangu si unazo?
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kiongozi

  Kwanini usiendeleze utamaduni wetu tiba asili, zile hazina maelezo LOL am kidding....tutawasiliana kwa undani JF noma haters wataharibu!
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  haya baba!
  JAH-GUIDE
   
 10. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  kaka Masa

  mimi ninachozungumzia hapa sio kwamba mwenye Group O hawezi kufa na ukimwi, ila ninachosema kama mtu mwenye mwenye O, yuko strong kwa maradhi, na kinachoua mtu mwenye UKIMWI ni maradhi (maralia, kifua nk), hivyo basi mtu mwenye blood group say A huwezi kumlinganisha na mwenye O kwenye kupambana na maradhi, kwa maana nyingine mtu mwenye UKIMWI wa group A sio sawa na mwenye UKIMWI wa group O, katika kupambana na maradhi yanayoambatana na upungufu huo wa kinga
   
 11. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,134
  Trophy Points: 280
  ya this is the way it is...........
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
   
 13. L

  Lizy JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 413
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Masa ukitulia unaongea point!
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Dec 12, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hasa kama sijalewa.....!
   
 15. L

  Lizy JF-Expert Member

  #15
  Dec 12, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 413
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Got it right.
   
 16. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #16
  Dec 12, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mkuu Masanilo inaonyesha wewe ni mweledi kwenye nyanja hii,sasa tusaidie na hao couples(discordant) ambao mmoja anaukwaa mwenzie anakuwa hana,wataalam wanasemaje kuhusu hili? na vipi kuhusu watu ambao hata iwe vipi hawaambikizwi HIV(maana wapo tele hao).
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Dec 12, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Bishanga

  Hakuna jibu lililo sahihi hapa, tuliisha wahi lijadili hili huko nyuma hapa JF. Kifupi kuna weza kuwa na sababu nyingi ambazo hazijulikani, moja wapo ni kuwa na polymorphism kwenye chemokine receptors za HIV-1 (CCR5). Unexplained genetic bacground ya couples mfano (HLA) inapelekea baadhi ya watu wana vulnerable kuliko wengine. Kuna theories nyingi, kama hiyo ya polymorphism kwenye key receptors za HIV-1 kwa individuals ama deficiency kwa baadhi ya watu. Nadhani hakuja jibu sahihi la moja kwa moja. Ngoja tuone wajuvi wengine michango yao.....!
   
 18. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Group O ndio inapatikana kwa weusi wengi na weusi wengi ndio wana maambukizi zaidi...hili la blood group nalo sijawahi kulisikia tangia UKIMWI uanze.
  Pili, kuna HIV 1 na 2 Moja iko prevalent zaidi Africa hasa west... isije ikawa Preta unachanganya haya mambo mawili.
   
 19. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye blue ndio hasa tena huwa nachanganyikiwa kabisa...kwani kuna HIV za aina ngapi kwa ujumla? na ile ya south, north na kwingine kote ziko tofauti? na kwa nini tofauti? Ningependa sana kujua hili jambo
   
 20. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
   
Loading...