HIV na Blood Group

hapo kwenye blue ndio hasa tena huwa nachanganyikiwa kabisa...kwani kuna HIV za aina ngapi kwa ujumla? na ile ya south, north na kwingine kote ziko tofauti? na kwa nini tofauti? Ningependa sana kujua hili jambo

Hapo hata mimi kunanipa utata, nilijaribu kutafuta majibu mwenyewe kutoka mitandaoni na maoni ya watu mitandaoni, lakini nikajikuta nina majibu mengi tofauti. Sijui lipi ni lipi? mwenye kujua wadau.

Pili kwenye hizi HRV wanajua hilo? au wanabwia madawa ya aina moja tu??

HRV unamaana gani?
 
Back
Top Bottom