HIV/AIDS test

HIV/AIDS test

mkono wa nyoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
334
Reaction score
54
habar wanajamii forum
najitokeza kupenda kupata ufafanuzi juu ya application ya hiv and aid test ipo kwenye play store kama kweli inatoa majibu yaliyo sahii au laah kwangu mm nimejarbu inaniambi no virus found na nikwel kwan mwez wa tisa nilipima ukimwi nipo vizur

sasa naomba ilikupata uthibitisho tuna ndugu jamaa na marafiki ambao kwa bahat mbaya ni waathirika ningeomba kama waweza download na ujarbu majibu yanatokaje kwa kutumia hii app kama kweli ipo perfect and accurate

dodoma reporter
 
Attachments

  • 1443913244314.jpg
    1443913244314.jpg
    22.4 KB · Views: 698
  • 1443913256536.jpg
    1443913256536.jpg
    21.8 KB · Views: 580
  • 1443913276486.jpg
    1443913276486.jpg
    24.7 KB · Views: 566
  • 1443913288393.jpg
    1443913288393.jpg
    25.8 KB · Views: 548
  • 1443913298705.jpg
    1443913298705.jpg
    25.8 KB · Views: 709
Hii App inabuni, niliitumia kila Mara Inatoa majibu tofauti,no virus ,ukiweka tena 1% need blood test
Haiaminiki
 
Acha kujidanganya nenda hospitali kapime !
 
Hiyo haina tofauti na kifaa kingine cha kipima upendo kwa walio kwenye mahusiano kwa kuandika majina ya wahusika na kisha kukupa majibu 80%, 95% n.k
 
Hiyo haina tofauti na kifaa kingine cha kipima upendo kwa walio kwenye mahusiano kwa kuandika majina ya wahusika na kisha kukupa majibu 80%, 95% n.k
nimechacheka. umepata mfano mzuri sana. hamna kitu pale. na italeta shida kwa wanaoiamin maana bora kujua ukweli mbaya kuliko uongo unaokufurahisha kwa muda tu. kuna mtu anaitumia anapima ovyo hasa mbele ya wanawake had nikaona wanaamin kirahisi.
 
Hii App inabuni, niliitumia kila Mara Inatoa majibu tofauti,no virus ,ukiweka tena 1% need blood test
Haiaminiki

kweli kabisa mimi mwenyewe iliniambia 1% virus found hence blood test needed nilivyopima tena ikaniambia no virus found tena zaidi ya mara tatu sasa sijui ukweli uko wapi.
Ila hofu ya hii application wasije wazungu wamebuni njia ya kupandikiza vimelea kupitia hii application labda wadau wenye uwezo wa kukonect dot watusaidie kabla adhima ya wazungu haijatimia
 
Hizo apps nadhani hazina ukweli,ipo nyingine pia ya Blood pressure nayo ni majanga.
 
Hivi ni kweli bado tuna watu wenye that mind of yours.hivi unaweza kupiga picha kutumia monitor ya computer
 
umeshaona kabisa imeandikwa PRANK, unachohangaika kuuliza ni nini hasa
 
Nimepima imenipa majibu tofaut sasa nasubir watoto wa hapa mtaani wote niwapime nione
 
umeshaona kabisa imeandikwa PRANK, unachohangaika kuuliza ni nini hasa

Kipaumbele 1. Elimu 2.Elimu 3.Elimu
Matatizo yetu mengi watanzania yanaweza kutatuliwa kama watu wakipatiwa Elimu.
 
Back
Top Bottom