Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,412
- 4,559
Sio kwamba siimini tiba ya Loliondo.
Ninaamini kama ninamojawapo ya hayo magonjwa nikipata kikombe nitapona.
Wasi wasi ni mambo yanayoendelea huku mikoani.
watu sasa wameamini tiba ya ukimwi ipo, kwahiyo hakuna kujali tena kama mwanzo.
Ngono zembe kama kawa.
Something should be done as soon as posible.
naamini kuna wahusika, you have to take a step.