Hitimisho!

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,745
7,773
canstock2794533.png

Him; "...wanawake ndivyo mlivyo!"
Her; "...wanaume wote mpo sawa!"

Kuna "ukweli" gani kwenye nukuu hizi?
 
Mwanamke kafumaniwa sasa anajuta na kuomba msamaha wakati huo huo jamaa amepanic
 
Mwanamke kafumaniwa sasa anajuta na kuomba msamaha wakati huo huo jamaa amepanic

mimi ninaona mwanaume ndio kafumaniwa...sasa anajuta, haelewi atamuelezaje dada aelewe....mbaya zaidi dada ndio anamfinance....jamaa kachanganyikiwa kabisa
 
Nadhani kauli za aina hii hutoka kwa sababu au katika hali ya hasira, kukata tamaa na depression lakini si kweli kuwa wanawake WOTE wako kama anayerifaiwa au wanaume WOTE wako sawa na mtuhumiwa. .......... Baharini kuna papa, nyangumi lakini pia wapo sato, red snipers......... so ni bahati ya mtu pamoja na baraka alizopewa na mwenyezi MUNGU kuweza kupata tofauti ..................
 
Mbu.............with exception to ile thread ya Mama Mkwe........ Am just touched by the choice of your topics kaka..........whatzup?
 
No Preta mwanaume angekuwa amefunaniwa Dem asingetulia kihivyo but you may be right kwa sababu picha ya jamaa iko nyuma ya hiyo ya Dem
 
Nadhani kauli za aina hii hutoka kwa sababu au katika hali ya hasira, kukata tamaa na depression lakini si kweli kuwa wanawake WOTE wako kama anayerifaiwa au wanaume WOTE wako sawa na mtuhumiwa. .......... Baharini kuna papa, nyangumi lakini pia wapo sato, red snipers......... so ni bahati ya mtu pamoja na baraka alizopewa na mwenyezi MUNGU kuweza kupata tofauti ..................
Kamanda, you have a well of wisdom and analytical qualities

Thanks MJ1

BTW, mbu is on another level aisee
 
Kamanda, you have a well of wisdom and analytical qualities

Thanks MJ1

BTW, mbu is on another level aisee

Thanx Kamanda it all comes with experience sweetheart........... many of us have urtered those sentences at some point in our lives only to find that we were wrong................ and I believe that is one of the reason zinazotufanya kuweza kutembea with our heads up looking for another person when we feel our feelings zimebakwa na our dears ambao tuliwaamini sana.

Otherwise kila ambaye amewahi kuumizwa kimapenzi angekuwa ameufunga kabisa mlango wa chumba chake cha mapenzi na ufunguo kuutupa baharini.

I always believe in positive things so whenever I get the negative I know the positive is somewhere near around
 
canstock2794533.png

Him; "...wanawake ndivyo mlivyo!"
Her; "...wanaume wote mpo sawa!"

Kuna "ukweli" gani kwenye nukuu hizi?

I believe hizo ni statements ambazo hutolewa bila kuassess contribution ya kila mmoja on whatever has happened, ni namna ya kushift blame to the other person.
 
I believe hizo ni statements ambazo hutolewa bila kuassess contribution ya kila mmoja on whatever has happened, ni namna ya kushift blame to the other person.

Haswaaaa sisy yaani hizi huwa zinatoa picha ya kuwa wahusika wanatupia blame kwa kila mmoja wao........ ni wachache wenye uwezo wa kutulia na kuassess mchango wao katika lililotokea.................

By the way...........uneshafungua chuo nini?? Maana uliingia mafichoni ati................and you were missed a lot
 
Hao wako gesti.gest yenyewe iko cnza inaitwa machmach 7babu hayo mashuka yako familier na yale y machmach.demu kashika tama anamwambia bila ndomu hupati ki2,jamaa kashika kichwa anakumbuka amezisahau reception
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaaa uwiii ChweChwe you made my day.......hii Guest ndo ile ipo karibu na Lion Hotel?? loh............ mh
 
Kauli kama hizi hutokea pindi maelewano kati ya wapenzi yanapo kuwa hakuna hasa mtu anapo kuwa na jazba, lakini kwa tathmini ya haraka kauli hizo zinapo anza kutumika mara kwa mara basi ujue mahusiano yanaanza kuharibika na kama ndo upendo,uaminifu,uvumilivu nk vimepungua navilevile uanze kujiandaa kuwa mpweke endapo hamtokaa na kuyamaliza.
 
Mbu.............with exception to ile thread ya Mama Mkwe........ Am just touched by the choice of your topics kaka..........whatzup?

Acha tu, hayasimuliki, ila in a nutsshell; na rafiki yangu wa kizungu analirudia rudia kila mara hili neno hapa kazini, sijui amekumbwa na nini wallahi...hajui ni jinsi gani anavyonikwaza kwa kauli hiyo.
Few years back alikuwa ananiambia "Mbu, you are exceptional!", siku hizi jambo dogo tu utamsikia " you see? I told you---every man is the same!"
Nakufa na tai yangu shingoni nisije muudhi!
 
I believe hizo ni statements ambazo hutolewa bila kuassess contribution ya kila mmoja on whatever has happened, ni namna ya kushift blame to the other person.

Carmel, welcome back!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom