Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 4,398
- 3,330
Ndiyo, hivyo ndivyo ilivyo humu jf mpaka Sasa baada ya uchunguzi wangu wa kina. Hoja za upingaji na upondaji huja tu ikiwa Inategemea pale ccm juu amekaa nani na anasema au kufanya nini kinachotofautiana na mawazo au uelewa wa mwanaJF. Tofauti na hilo, wote humu ni wanaccm tu kwa hakika kwani wanaipenda haswaa.
Habari za gwajima na polepole na michango inayoendelea kuteremka humu kuhusu watu hao na furaha waliyonayo wapinzani, hususani chadema, vinathibitisha hivyo kuwa mioyoni mwao ipo ccm tu. Nimegundua ule ushindi wa 90+% ni sawa kabisa na sitoshangaa hata kidogo ikifika 100%. Usikimbilie kubisha kabla ya kuchunguza kwanza.