Wataje hapa hao madoni uchwara. Mmeshindwa kutengeneza miji yenu ikapendeza na kuwa na mzunguko wa hela mmebaki kulialia. Na mlikokuwa mnaponea serikalini mlishapigwa vyeti fake na kubaki mnashangaa tu.Ukweli mnujua Moyoni kuwa watu wa kaskazini ndio madoni huko Mwanza na Tanzania kwa ujumla, ona eti tajiri wenu Wasukuma ni Mhe. Msukuma
Kaskazini hakunaga madoni uchwara, punguza chuki na Watu wa kaskazini kwa sababu wao ndiyo wamechangia kukuza Mji wa Mwanza mnaojisifu nao huku nyie Mnakaa Bariadi mnalima pamba na kufuga n'gombeWataje hapa hao madoni uchwara. Mmeshindwa kutengeneza miji yenu ikapendeza na kuwa na mzunguko wa hela mmebaki kulialia. Na mlikokuwa mnaponea serikalini mlishapigwa vyeti fake na kubaki mnashangaa tu.
Mgogoro wa wasukuma na wachaga huu..
Baada ya Bwana Yule kuwaminya kende mno wachaga Sasa vijukuu vyake vimeachwa ktk Wakati mgumu ...ngoja tuone hatma ya huu mtanange....
Kaskazini hakunaga madoni uchwara, punguza chuki na Watu wa kaskazini kwa sababu wao ndiyo wamechangia kukuza Mji wa Mwanza mnaojisifu nao huku nyie Mnakaa Bariadi mnalima pamba na kufuga n'gombe
-Halafu Mimi sijasemea wachaga nasemea watu wa kaskazini i.e Arusha na KilimanjaroHakuna mchango wowote. Taja uwekezaji hata mmoja tu wa maana waliowekeza wachagga Mwanza. Wao hata mtu akiwa na milioni mia wanamwita bilionea ! Msukuma anaweza kuwa na mabilioni na hutasikia anajigamba.
Watu wakaskazini hawa wanaouza mafuta, unga robo na sukari robo fata kwa mangi😁😁, jiji la Mwanza limeendelezwa na wenyeji wenyewe wanaofanya biashara kubwa za madini, uvuvi na ufugaji, hakuna magorofa ya wakina mangi kama huko arusha.Mwanza inaendelezwa na Watu wa Kaskazini.
-Halafu Mimi sijasemea wachaga nasemea watu wa kaskazini i.e Arusha na Kilimanjaro
- Watu wa kaskazini sio wa kumiliki milioni mia ili uitwe tajiri wew nenda Arusha uone watu wanavyotumia Pesa muda huu.
-Sasa msukuma ajigambe kwa lipi? Utakuta anamiliki n'gombe kibao wateja zake ni watu wa kaskazini ndio wenye Pesa ya kununua n'gombe
-Acheni Chuki na kaskazini wakati wenzenu wanasoma nyie Mnachunga !
Sasa boss mbona unachanganya mambo,king musukuma ni wa geita huko,kwenye list ya matajiri wa mwanza musukuma hata 100 bora hayumo.madon wengi mwanza ni watu wa samaki, madini na viwanda sasa mchaga na uvuvi au viwanda wapi na wapi hakuna mchaga tajiri aliyeko mwanza,wachaga wengi wanamiliki viduka vya nguo kwa hiyo wako level moja na waha.kusema wachaga wanaibeba mwanza hicho kitu hakiwezi tokeaUkweli mnujua Moyoni kuwa watu wa kaskazini ndio madoni huko Mwanza na Tanzania kwa ujumla, ona eti tajiri wenu Wasukuma ni Mhe. Msukuma
#Leta facts, Jenga Hoja.Umeandika kwa mahaba sana, lakini ni ujinga mkubwa kulinganisha jiji kubwa kama Mwanza na mji kama arusha, tuweke unafiki pembeni arusha ina safari ndefu kufika mahali Mwanza ilipo, batte ya arusha iwe na wakina mbeya, au Tanga.
Umeona Sasa kwa Jinsi ulivyo na Chuki na Watu wa kaskazini, yaani umekosa hoja unaanza Kuongea Uongo kwa kusema kuwa watu wa kaskazini ni shoe shiners, haiingii akilini hata kidogo na ni IllogicalHakuna kitu. Watu wa kaskazini hawana uwekezaji wa maana kwenye Jiji la Mwanza. Labda ungeniambia watu wa Mara hapo ningekuelewa lakini wakaskazini hapa Mwanza ni shoe shiners tu.
Hebu Weka Orodha ya Matajiri 100 wa kisukuma halafu uletewe Matajiri 100 wa kutoka Kaskazini uone utakavyoaibikaSasa boss mbona unachanganya mambo,king musukuma ni wa geita huko,kwenye list ya matajiri wa mwanza musukuma hata 100 bora hayumo.madon wengi mwanza ni watu wa samaki, madini na viwanda sasa mchaga na uvuvi au viwanda wapi na wapi hakuna mchaga tajiri aliyeko mwanza,wachaga wengi wanamiliki viduka vya nguo kwa hiyo wako level moja na waha.kusema wachaga wanaibeba mwanza hicho kitu hakiwezi tokea
70% vyeti fake ni wachagaWataje hapa hao madoni uchwara. Mmeshindwa kutengeneza miji yenu ikapendeza na kuwa na mzunguko wa hela mmebaki kulialia. Na mlikokuwa mnaponea serikalini mlishapigwa vyeti fake na kubaki mnashangaa tu.
Unataka nikuambie kijiji cha arusha kiwe jiji la pili baada ya Dar??#Leta facts, Jenga Hoja.