TOFAUTI KATI YA ARUSHA NA MWANZA(Ndani ya eneo la majiji yote mawili)
Sifa kuu:- ARUSHA- jiji la Utalii; MWANZA- jiji la Biashara
1. CLIMATE
I) Arusha ina hali ya ubaridi, uoto mzuri wa kijani na vijito pia ina milima mizuri kama mlima meru na eneo kubwa tambarare.
* Kero; Vumbi jepesi linalotimka kipindi cha kiangazi na baridi la kila siku kuanzia mida ya jioni.
II) Mwanza ina hali ya hewa tulivu na isiyo na joto kali kwa mwaka mzima, ina sifa ya vilima vya mawe vingi na eneo dogo la tambarare ila pia ina sifa kuu ya kuwa katika mwambao wa ziwa Victoria.
* Kero; Kukwea milima na nakupata taabu ya kupenyeza baadhi ya miundombinu kufika maeneo kadhaa.
2. BIASHARA KUU
ARUSHA ni Hotels,Ubadilishanaji pesa za kigeni,Tour companies na Usafirishaji, Pombe, kumbi za mikutano na starehe 70% na Biashara nyinginezo 30%
MWANZA ni Mazao ya Uvuvi 20%, Mbao 9%, Madini 45%, Pamba 5%, Bidhaa 10%,Usafirishaji 7 %Viwanda 3%, Nyinginezo 1%
3. UKUBWA WA ENEO LOTE LA MJI(ENEO LENYE MAKAZI NA MIUNDOMBINU MINGINE):-
Arusha 40% Mwanza 60%
4. AJIRA( Ndani ya eneo la jiji)
I. ARUSHA; BIDHAA 19%, KILIMO NA UFUGAJI 11%, UTALII,SAFARI NA STAREHE 65%, NYINGINEZO 5%
II. MWANZA; PRIVATE SECTORS I.e NGOs,COYs 15%, MADINI 35%, VIWANDA 5%, BIDHAA 20%, USAFIRISHAJI 10% UVUVI 10% NYINGINEZO 5%
* CRIME RATE& USES OF DRUGS: Arusha ni 70% Mwanza ni 30%
5. MIUNDOMBINU(Iliyopo na ambayo ipo kwenye hatua za ujenzi):-
I. BARABARA; Arusha 51% Mwanza 49%
II. HOSPITALI; Arusha 30% Mwanza 70%
III. STENDI ZA MAGARI; Arusha 30% Mwanza 70
IV. MASOKO; Arusha 45% Mwanza 55%
V. MAJI SAFI NA MAJI TAKA; Arusha 40% Mwanza 60%
VI. UMEME Arusha 50% Mwanza 50%
VII. VYUO VIKUU; Arusha 48% Mwanza 52%
VIII. MAWASILIANO; Arusha 50% Mwanza 50%
IX. USAFIRI WA RELI; Arusha MGR 30% Mwanza MGR na SGR 70%
X. USAFIRISHAJI WA MAJINI; Arusha 0% Mwanza 100%
XI. BANDARI; Arusha 0% Mwanza 100%
XII. ANGA; Arusha 40% Mwanza 60%
6. KIUCHUMI au MAPATO; Mwanza is second after dar.
7. WANAWAKE WAREMBO; Arusha 50% Mwanza 50%
8. MAUJANJA AU SWAG ZA UVAAJI NA UCHANGAMFU; Arusha 60% Mwanza 40%
9. UBORA WA MAKAZI;
I) MITAA YA WADOSI; Arusha 55% Mwanza 45%
II) MITAA YA KAWAIDA NA USWAZI NAFUU; Arusha 30% Mwanza 55%
III) MITAA YA NYUMBA ZA MABANDA NA TOPE; Arusha 15% Mwanza 0%
10. FUTURE PREDICTION ZA MJI MMOJA KUPITA MWINGINE KIMAENDELEO:-
I. Arusha 25% sababu: kuimarika kwa UTALII.
II. Mwanza 75% sababu: kuimarika kwa MIUNDOMBINU na kuwa kitovu cha Biashara cha maziwa makuu.
11. CBD
I. Ukubwa; Arusha 40% Mwanza 60%
II. Mwonekano/Mvuto; Arusha 40% Mwanza 60%
III. Majengo Marefu; Arusha 53% Mwanza 47%
IV. Mpangilio; Arusha 45% Mwanza 55%
V. Eneo bize kibiashara na movement; Arusha 30% Mwanza 70%
NB: Asilimia nimezikadiria katika usahihi pasipo kuegemea kokote kulingana na jinsi ninavyoielewa vyema miji hii miwili ya Arusha na Mwanza, hivyo kazi kwenu kuamua hapo nani anamzidi mwenzie na kama unaona kuna sehemu au kipengele kina mushkeli pinga kwa hoja.