Hitimisho na majibu ya battle ya Arusha na Mwanza

Mengine yote sijui, lakini kwenye suala la akili, maarifa, ujanja, kupenda elimu, wakazi wa jiji la Arusha wako mbele sana, sidhani kama kuna mji au jiji linaweza kuwafikia.
Na ndio maana hata kimapato wako vizuri kushinda Mwanza..

Msema kwenye ni mpenzi wa Mungu 👇

Screenshot_20220506-155529.png


Screenshot_20220506-134654.png
 
Ilemela na nyamagana zinatakiwa kukusanya 27 bln punguza kudemka.
Na Sasa nyamagana wako 80% na ilemela 77%
Haya 23 bln na 27 bln zinalingana?
Sasa ziko wapi hizo pesa kila siku mnapigwa fimbo na Arusha?

Driving on Arusha bypass Road 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220606-223545.png
    Screenshot_20220606-223545.png
    140.6 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220606-223617.png
    Screenshot_20220606-223617.png
    206 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220606-223356.png
    Screenshot_20220606-223356.png
    195.8 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220606-223735.png
    Screenshot_20220606-223735.png
    207.5 KB · Views: 23
Ilo jina TU NI sawa na singida kwetu tunaita SINGAPORE je kweli inataka kufanana na singay...wahuni tu waliamua kuitungia lete facts za kustahili kuitwa Geneva.....TU BASE KWENYE MAGHOROFA PEKEE MWANZA TOWN NA ARUSHA TOWN KUPI KUNA VIBERITI VYA KWENDA VYA MAANA?
Eti Tabora ni Toronto ya Tanzania, wajameeeni hvi haya maneno huwa yanatoka kwenye vinywa vya kulia chakula kweli?:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Arusha kuna BOT,MAHAKAMA YA AFRICA MASHARIKI, KUNA MAKAO MAKUU YA AFRICA MASHARIKI,KULIKUWA NA MAHAKAMA YA MAUAJI YA RWANDA, KUNA UKUMBI MKUBWA WA MIKUTANO AICC DAR NDYO WAMEJENGA JUZI,KUNA OFISI ZA MABALOZI NA MASHIRIKA YA UN,ARUSHA N MJI WA PILI KWA USAFIRI AU ABIRIA WA NDEGE NYUMA YA DAR.ARUSHA HAINA BANDARI VILE HAINA ZIWA AU BAHARI, LINDI INA BAHARI NA SIO ZIWA KAMA MWANZA NA HAINA MAENDELEO. ARUSHA IMEENDELEA MPAKA VIJIJINI.ARUSHA NI YA PILI KWA UMAARUFU TANZANIA NYUMA YA DAR.MWANZA IMEPEWA HADHI YA JIJI MIAKA 10 MBELE ILA SI KIGEZO KUWA HAIWEZI KUIPITA MWANZA INAWEZA SANA KAMA ITAONGEZEWA ENEO. KAHAMA NI MANISPAA MPYA ILA IMEZIPITA BAADHI ZA MWANZO......MWANZA NI KUBWA KULIKO ARUSHA. ARUSHA IPO KIMATAIFA ZAIDI YA MWANZA. KUSEMA KIUTALII HAKUNA MJI UTAIFIKIA ARUSHA NA KILIMANJARO NA ZANZIBAR KWA NCHI HII.
 
Sasa ziko wapi hizo pesa kila siku mnapigwa fimbo na Arusha?

Driving on Arusha bypass Road
Hujaziona hizo 21B za mwanza dhidi ya 18B za Arusha na wakati umepost mwenzewe! Au ndo kujitoa akili! Naona umehamia kwenye Barabara ili mradi tu udemke, ebu nuna kwanza na mikoa inayoongoza kwa matumizi ya mafuta nchini, yaani unune uvute Domo kabisa, sawa.

1. Dar-lita bilioni 1.1
2.Mwanza-lita 278 milioni
3.Pwani-lita 253 milioni
4.Arusha-lita 252 milioni
5.Dodoma-lita 212 milioni
6.Mbeya-lita164 milioni
7.Morogoro-lita148m
8.Tanga-lita 135m
9.Iringa-lita 116m
10. Kagera-lita 100m
JamiiForums1050187883.jpg
 
Hujaziona hizo 21B za mwanza dhidi ya 18B za Arusha na wakati umepost mwenzewe! Au ndo kujitoa akili! Naona umehamia kwenye Barabara ili mradi tu udemke, ebu nuna kwanza na mikoa inayoongoza kwa matumizi ya mafuta nchini, yaani unune uvute Domo kabisa, sawa.

1. Dar-lita bilioni 1.1
2.Mwanza-lita 278 milioni
3.Pwani-lita 253 milioni
4.Arusha-lita 252 milioni
5.Dodoma-lita 212 milioni
6.Mbeya-lita164 milioni
7.Morogoro-lita148m
8.Tanga-lita 135m
9.Iringa-lita 116m
10. Kagera-lita 100mView attachment 2257367
Huna hata aibu kujipika kifua,hizo bil.21 ziko wapi? Yaani unauzungumzia makisia badala ya kuzungumzia mapato halisi?

Ili Mwanza iishinde Arusha lazima viungane na Ilemela,sasa Arusha CC ikitaka ijiunge na Arumeru/USA River si itaijambisha Sana Mwanza?
 
Back
Top Bottom